Lia
Umeshaitia gundu post yakoNi ka-mchezo rahisi sana ila nahisi wengi watashindwa na matokeo yake wataishia kusoma na kuondoka.
Ka-mchezo kenyewe no hivi kila mtu awake neno moja tuu ambalo lina herufi tatu
Mfano. Saa, Taa, Paa, Jua ....
Usirudie la mwenzako, wavivu kufikiri utawaona .... Kimyaaaa !!