Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Si kweli,nimesoma maelezo ya herufi nyingi hapo si kweli labda umetafiti ktk ukoo wenu but IT IS WRONG,VERY WRONG hata erufi ya jina langu umechemka vibaya sijui umetoa wapi idea hizi
Wa Tanganyika bhana...!!
Sasa weunapo lalamika sikweli unamlalamikia nani?
Kataa au lalamika kwa hoja basi nawe tukuelewe.