Si kweli,nimesoma maelezo ya herufi nyingi hapo si kweli labda umetafiti ktk ukoo wenu but IT IS WRONG,VERY WRONG hata erufi ya jina langu umechemka vibaya sijui umetoa wapi idea hizi
Hapo unatuibia mkubwa, jina lako linaanzia na K unasema A....
Haya bwana na haya maelezo ni kwa hisani ya watu wa wapi?
Ni kweli kabisa jina langu linaanzia na s
totaly wrong
Si kweli,nimesoma maelezo ya herufi nyingi hapo si kweli labda umetafiti ktk ukoo wenu but IT IS WRONG,VERY WRONG hata erufi ya jina langu umechemka vibaya sijui umetoa wapi idea hizi
uliposema herufi m ni mropokaji yaani ni kweli kabisa.
Mfano hai tukianzia hapa hapa jf akina msalani na wengineo.
sasa Y na V ziko wapi?
Mimi jina langu linaanzia na V ebu niangalizie huko