Hesabu bwana!!!

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Wakali Wa number mpooooo?

 

Attachments

  • 1429809445340.jpg
    60.3 KB · Views: 674
Wakali Wa number mpooooo?


The answer is NO,

Reason;
Namba ulizopewa zinazotakiwa kuingia kwa hizo box ni witiri (zisizogawanyika kwa mbili),

Na idadi ya vibox nayo ni witiri pia. Sasa basi kikanuni huwezi kuchukua namba nyingi ambazo ni witiri zote kwa idadi ya namba witiri ukazijumlisha uje upate namba Shufwa.

Ingekua idadi ya vibox ni Shufwa hapo sawa ingewezekana. Mfano 1+3+5+7+9+11=26 ambayo ni Shufwa. Hii imewezekana sababu idadi ya namba zilizojumlishwa hapa ni namba zipatazo 6 ambayo ni shufwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…