Hesabu hii imekaaje?

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,023
Reaction score
12,811
Nimepewa swali la hesabu na mtoto wa darasa la nne, nimeumiza kichwa kutafuta jibu nimeshindwa, na imebidi nimdanganye kuwa ni ya chuo kikuu! Hesabu yenyewe ipo hivi:
"watu 3walikula mgahawani gharama zikawa sh.25@1. Walimpatia mhudumu sh. 75. Kaunta alimpa sh. 5 mhudumu na kumtaka awarudishie wateja hao kwani amewapa punguzo. Mhudumu wakati akiwaendea aliwaza vipi atazigawa sh. 5 kwa watu 3, hivyo akaficha sh.2 na kuwagawia sh.1 kila mtu. Sasa kila mmoja alitoa sh.24 na 24x3=72. Ukijumlisha ile sh.2 aliyochukua muhudumu zinakuwa jumla 74. Sasa ile sh.1 ipo wapi?"
 
Siku zote ukitaka kujua kiasi ulichokuwa nacho mwanzo inabidi uchukue kiasi ulichotumia + chenji ulopewa. Mfano, umeenda dukani, umenunua mkate 800/= umerudishiwa 200/=, ina maana ulitoa 1000/=

The same applies, Jamaa wamerudishiwa 3/=, alafu 2/= kachukua muhudumu(tuchukulie kama tip), af kaunta imebaki 70/=; kwahiyo total walotoa mwanzo ni 70+2+3 = 75/=
 
Mkuu, umefanya kosa moja kubwa sana kimahesabu.

Jamaa kama aliwarudishia shilingi 1, kila mtu ni kweli katoa sh.24 na hii inatoa jumla ya shilingi 72. Kama gharama ilikuwa shilingi 70, ina maana shilingi 2 ndiyo kavuta mhudumu. Ukichukua mbili na kujumlisha 3 unapata 75.
 
Jamani na mie narusha ka-hesabu kangu haka.....

At the end of a banquet 10 people shake hands with each other. How many handshakes will there be in total?
 
Jamani na mie narusha ka-hesabu kangu haka.....

At the end of a banquet 10 people shake hands with each other. How many handshakes will there be in total?
Karibu sana jamvini!
 
Jamani na mie narusha ka-hesabu kangu haka.....

At the end of a banquet 10 people shake hands with each other. How many handshakes will there be in total?
Watu 10 x 10 - 1 = 99
 
Kichwa kinafanya kazi, huo mchanganuo sahihi.
 
10+(9+(8((...+(1)..))=10+9+8+7+6+5+4+3+2+1.
kwa wanahesabu, Sn=10(1+10)/2 = 55 shakes.
 
Jamani na mie narusha ka-hesabu kangu haka.....

At the end of a banquet 10 people shake hands with each other. How many handshakes will there be in total?

kama kuna watu kumi,kila mmoja atashake hands na watu tisa,manake huwezi kujishake hands mwenyewe,so 9 handshakes kwakila mmoja wa hao watu kumi ni 9 x 10 = 90 handshakes.

Buliba,sema,tumepata au tumekosa?
 
It is vely thimpo kweshen.

Here it comes
= 0 + 1 + 2 + 3 + 4 + 5 + 6 + 7 + 8 + 9

Meaning the
first person shook no body = 0
second person shook with one person = 1
third person shook with two person = 2
fourth person shook with three person = 3
fifth person shook with four person = 4
sixth person shook with five person = 5
seventh person shook with six person = 6
eighth person shook with seven person = 7
ninth person shook with eight person = 8
and the tenth shook with nine = 9
so the total hand shakes = 0 + 1 + 2 + 3 + 4 + 5 + 6 + 7 + 8 + 9 = 45
 
Jamani na mie narusha ka-hesabu kangu haka.....

At the end of a banquet 10 people shake hands with each other. How many handshakes will there be in total?

Very interesting.
 
Kwani kama kila mmoja alichangia sh.24, na wote kwa pamoja walitoa sh.75, je ile sh.1 ya ziada imetoka wapi?
 
Jamani na mie narusha ka-hesabu kangu haka.....

At the end of a banquet 10 people shake hands with each other. How many handshakes will there be in total?

EVERY ONE WILL SHAKE HANDS WITH OTHER NINE (9), SO 10x9=90
 
Mtoa mada alete majibu ya maswali hayo au kwakuwa ipo kwa jokes ndo mana hakuna kumalizia??😕
 
Kwa jinsi ulivyojichanganya, huwezi kupata jibu. In maths, lazima ulichambue swali. Na hapa unafanya:
75 - Waliyotoa mwanzo
- 5 - Change
70 - Iliyobaki hotelini
+ 3 - aliyowapa mhudumu
73 - jumla yake
+ 2 - aliyobaki nayo mhudumu
75 - jumla la hesabu zima

Hivyo hakuna hela iliyopotea. Ni wao wamejaribu tu kukuchanganya. Lazima ujue pa kuanzia katika hesabu siku zote.

Jamani na mie narusha ka-hesabu kangu haka.....

At the end of a banquet 10 people shake hands with each other. How many handshakes will there be in total?

10 x 9 = 90 - hii ni total possible number of handshakes
90/2 = 45 - kwa sababu "a" akimshika "b" mkono, basi "b" hawezi kumshika "a" mkono tena. Hivyo inabidi tugawanye kwa mbili!!!
Answer: 45 Handshakes
 
Wamelipa........75

Wamerudishiwa........5-2=3

Hivyo wamelipa Sh 73 na sio Sh 72

Na mchango wa Kila mmoja utakuwa 73/3= 24.33

Muhudumu kazuia mbili Sh mbili ya watu watatu ni sawa na 2/3= 0.67

24.33
+ .67
25.00 x 3= 75@3
 
Nimeipenda hii imekaa kimahesabu zaidi!
 
Wamelipa........75

Wamerudishiwa........5-2=3

Hivyo wamelipa Sh 73 na sio Sh 72

Na mchango wa Kila mmoja utakuwa 73/3= 24.33

Muhudumu kazuia mbili Sh mbili ya watu watatu ni sawa na 2/3= 0.67

24.33
+ .67
25.00 x 3= 75@3
Hebu cheki hiyo bold vizuri!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…