Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Nimepewa swali la hesabu na mtoto wa darasa la nne, nimeumiza kichwa kutafuta jibu nimeshindwa, na imebidi nimdanganye kuwa ni ya chuo kikuu! Hesabu yenyewe ipo hivi:
"watu 3walikula mgahawani gharama zikawa sh.25@1. Walimpatia mhudumu sh. 75. Kaunta alimpa sh. 5 mhudumu na kumtaka awarudishie wateja hao kwani amewapa punguzo. Mhudumu wakati akiwaendea aliwaza vipi atazigawa sh. 5 kwa watu 3, hivyo akaficha sh.2 na kuwagawia sh.1 kila mtu. Sasa kila mmoja alitoa sh.24 na 24x3=72. Ukijumlisha ile sh.2 aliyochukua muhudumu zinakuwa jumla 74. Sasa ile sh.1 ipo wapi?"