Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Ni mimi wako UWESUTANZANIA✍️
Najua utastaajabu kwanini nakwambia ameshafuzu. Hesabu hiko ivi:-
Kwanza kabisa unapaswa kutambua kuwa simba ana point 9 huku adui yake namba moja ni blavos mwenye point 6.
Simba mpaka sasa anahitaji hata sare pekee nyumbani kwa Bravos awe amefuzu moja kwa moja. Yaani wakitoa sare msimamo unakuwa hivi
Simba pts 10
Bravos pts 7
Hivyo basi hata blavos akishinda mchezo wake wa mwisho na simba akifungwa kwa mkapa mchezo wake wa mwisho msimamo unakuwa hivi
Simba pts 10
Blavos pts 10
Hapa pia simba anakuwa kafuzu kwa ile faida yake ya H2H ambayo CAF wanaanza kuiangalia kwanza.
Ili Simba iwe na ugumu kidogo ni kufungwa nyumbani kwa bravos goli zaidi ya moja na kupoteza mchezo wa mwisho.
NB: Siioni bravos ya kufanya hivyo. Wala siioni simba ya kufungwa nyumbani. Muwe na siku njema