Hesabu mpya Simba ameshafuzu kwenda robo fainali

Hesabu mpya Simba ameshafuzu kwenda robo fainali

Mjumlishe na huyo kwenye yale magazijuto.

Mkishinda mechi ile OKW BOBAN SUNZU atahuzunika Sana na MC Alger anyang'anywe pointi na akija dar wachezaji wake 8 waambiwe wana corona hapo mtawafunga mabao matano😄😀😆

Bila ya magazijuto maisha ya mwanayanga hayawezi kuwa na furaha.
Ngoja tukupe hesabu.
Leo Yanga anashinda mbili bila
Mechi na waarabu Yanga anashinda mbili bila
Tafadhali screenshot hii comment kwa kumbukumbu
 
Sisi wengine washinde sisi tukishinda haituhusu. Simba mechi ya kesho wakitoa droo tayari gemu imeishia hapo mechi ya mwisho itakuwa kugombea kuongoza kundi. Na wakifungwa Bado gemu ya mwisho inaweza kuamua

Ila Yanga wakifungwa kesho safari itakuwa imeishia hapo.
Simba akifungwa kesho naye safari ndo imeishia hapo
 
Ona
 

Attachments

  • Screenshot_20250113_160201_Chrome.jpg
    Screenshot_20250113_160201_Chrome.jpg
    120.8 KB · Views: 4
Back
Top Bottom