Hesabu ya timu 4 Tanzania bado kidogo

YANGA pamoja na kuongeza pointi 3 kwa miaka yote walioshiriki wanastahili pongezi kwani tusingekuwa na pointi 18.
Zimechanganywa na zao 3.
 
Yanga wameongezea points hapo tuwapongeze pia pamoja na ukata wao, ingekuwa points 15 tu za simba zisingetosha mjue
Ha ha haaa! Hongera Yanga kwa kuchangia point tatu miaka nenda rudi ya uwakilishi
 
Reactions: Tui
Washindani wetu ni walewale wa kila siku -kenya

Sent using simu mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…