SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Baada ya kocha wa Al Hilal Florent Ibenge kusemekana kupokea mlungula kutokea kwa uto ili kuwapa uto uhai na matumaini ya kufuzu kwenda robo fainali, aliangaliaaa misimamo ya makundi mengine akawa na maamuzi ya kufanya.
Kwanza ni maamuzi ya kuonyesha kwamba timu imeshuka kiwango ili kuaminisha watu kuwa alifungwa na uto kihalali. Pili lilikuwa ni suala la kwenye robo fainali anamtaka nani au amkwepe nani.
Baada ya maswali haya mawili, akaamua ajilipue afungwe na TP Mazembe na wakatandikwa kweli goli 4-0. Lengo likawa ashike nafasi ya pili na azma yake kwenye masuala hayo mawili itimie.
Pia nimejifunza kitu cha ziada, Ibenge alijua uto inajisumbua na isingetoboa mbele ya MC Algier. Aliamini MCA ilikuwa inaenda kushinda mechi ya Dar na kuongoza kundi. Jamaa anaijua uto kama kiganja cha mkono wake na alikuwa na uwezo wa kuimaliza shughuli kule kule Mauritania libaki tu suala la kusafirisha maiti.
Bahati mbaya kwake alitegemea Al Ahly aliyekuwa anacheza nyumbani dhidi ya Orlando Pirates angeenda kushinda na kuongoza kundi lake kwa hivyo Ibenge awakwepe hao miamba hatua ya robo fainali. Al Ahly akapigwa na Orlando na kuishia nafasi ya pili. Kwenye robo fainali Ibenge anaweza kwenda kukutana na yule aliyetaka kumkwepa!
Pesaaa....Pesaaa.....