moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Lakini si alishakula pesa za gongo wazi inatosha.Dah nilisema mahesabu ya Ibenge yamebugi, leo yametimia. Alitaka kumkimbia Al Ahly kaenda kukutana naye.
Hata wakitolewa pesa ishaingia.
Uto wamegharamika sana kuitafuta robo na wameikosa.š¤£š¤£
Hasara juu ya hasara.