moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 142,674 Reaction score 743,909 Feb 23, 2025 #21 SAYVILLE said: Dah nilisema mahesabu ya Ibenge yamebugi, leo yametimia. Alitaka kumkimbia Al Ahly kaenda kukutana naye. Click to expand... Lakini si alishakula pesa za gongo wazi inatosha. Hata wakitolewa pesa ishaingia. Uto wamegharamika sana kuitafuta robo na wameikosa.🤣🤣 Hasara juu ya hasara.
SAYVILLE said: Dah nilisema mahesabu ya Ibenge yamebugi, leo yametimia. Alitaka kumkimbia Al Ahly kaenda kukutana naye. Click to expand... Lakini si alishakula pesa za gongo wazi inatosha. Hata wakitolewa pesa ishaingia. Uto wamegharamika sana kuitafuta robo na wameikosa.🤣🤣 Hasara juu ya hasara.