Hesabu za kampuni na kodi

Hesabu za kampuni na kodi

klinbritetz

Senior Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
160
Reaction score
125
sajili kampuni yako leo kwa bei nafuu,
1. LTD - 125,000 tu
2. JINA LA BIASHARA- 10,000 tu
3. kuandika Memorandum....

huduma nyingine ni pamoja na
1. Audit of annual financial statements
2. Monthly VAT Return
3. Registration of employees for taxes SDL AND PAYE
4. Monthly payroll (TRA taxes SDL/PAYE, Social security (NSSF), Workers contribution to WCF.
5. Tax Planning, provisional assessment tax for quarterly corporate taxes, charges etc
6. Cash budgeting and monitoring of complicated credit/loan facility transaction(monthly)
7. Trade stock-taking and assets auditing and accounts reconciliation(monthly
8. Monthly management, bookkeeping, accounts and reconciliation
9. Compilation of financial statements
 
Kuandaa HESABU za KAMPUNI hasahasa kwa LTD ni muhimu sana kwa ustawi wa biashara yako na pia inatakiwa kisheria za Kodi na zaidi sana BRELA.

TENA kuandaa HESABU ZA KAMPUNI kutakusaidia kupanga mipango ya baadae ya biashara yako. Ukiwa na kumbukumbu za fedha utaweza kufanya maamuzi bora ya biashara yako hususani kuhusu vyanzo vya mapato, kodi, matumizi binafsi ya mmiliki wa biashara na hata kustaafu katika biashara.

AMA MJASILIAMALI au ni MFANYABIASHARA ni vyema sana uweke utaratibu wa kutunza taarifa sahihi za miamala ya kifedha inayofanyika na kuonesha namna fedha zilivyotumika. Utunzaji wa kumbukumbu za kifedha utakusaidia kutoa taarifa kuhusu namna taasisi inavyoendeshwa na ikiwa inafanikiwa kutimiza malengo yake ama la.

Umuhimu wa kumbukumbu

i) Taarifa: Kila biashara inahitaji kuandaa na kutunza kumbukumbu za miamala yake ya kifedha ili waweze kupata taarifa kuhusu hali yao kifedha, ikiwa ni pamoja na:
Taarifa fupi ya mapato na matumizi na mgawanyiko wake katika vipengele mbalimbali.

Matokeo ya shughuli za biashara – ziada (faida) au upungufu (hasara).

Mali na madeni – au vitu vinavyomilikiwa na biashara na vile ambavyo biashara inadaiwa.

ii) Uaminifu: Kutunza kumbukumbu sahihi za kifedha kunachochea uadilifu, uwajibikaji na uwazi, na kuepuka hisia za kukosa uaminifu hasa kwa wakopeshaji au wawekezaji ambao wangependa kushirikiana nawe katika biashara.
iii) Mipango ya baadaye: Pamoja na kuwa taarifa za kifesha zinaripoti mambo yaliyokwishatendeka, zinasaidia utawala kuweka mipango ya mbeleni na kuelewa zaidi kuhusu uendeshaji wa biashara. Ukiwa na taarifa za miaka miwili mitatu ni rahisi kupata taswira ya mwenendo wa biashara.

Namna za kutunza kumbukumbu za kifedha

Kumbukumbu za kifedha zinaweza KUANDALIWA kwa mfumo wa kuandika kwa mikono au kutumia mfumo wa kompyuta ambapo unaweza kutumia mojawapo ya programu za kihasibu za kompyuta.

Namba mbili kuu za utunzaji wa kumbukumbu za fedha ni:

Kurekodi kwa kuzingatia miamala ya fedha taslimu tu
Kurekodi kwa kuzingatia msingi wa muamala, hata ikiwa ni deni.

Itaendelea.

Kwa msaada wa KUANDAA HESABU ZA KAMPUNI/ ANNUAL REPORT/ANNUAL RETURN

- KUSAJILI KAMPUNI (LTD)

- BUSINESS NAME (JINA LA BIASHARA)

- PARTERSHIP (UBIA)

USAFI WA MAOFISINI, VIWANDANI, HOSIPITALINI, MASHULENI NK


Wasiliana nami kwa # 0 7 8 8 1 0 4 2 2 8 (SIMU / WATSUP)

Ushauri - Bure!
 
KWA HUDUMA

KUSAJIL KAMPUNI
-jina la Biashara
-limited caompany
-partneship

HESABU ZA KAMPUNI(FINANCIAL STATEMENTS)

KUANDIKA MEMORANDUM

TUKO NA UZOEFU WAKUTOSHA

Wasiliana nasi kwa # 0788104228

USHAURI NI BURE

Popote ulipo TANZANIA tunakupa huduma.
Klin&Brite
FB_IMG_1577116577306.jpeg
 

Attachments

  • Blue Key Top Tips List Instagram Post.png
    Blue Key Top Tips List Instagram Post.png
    308.7 KB · Views: 28
Habari Wadau, kheri ya 2022

mwaka umeanza na mapambano yanaendelea. Hapa ni tarifa ya yanayojiri kwa wafanya biashara tanzania.

ya kwanza ni kumbusho la kufanya makadirio ya mwaka 2022, wahi mapema kabla ya 31 March 2022. muda wowote kuanzia sasa ni muda muafaka.

kila la kheri,

mwenye kuhitaji msaada zaidi - tupo kwa ajili ya watanzania

WAFANYABIASHARA.jpeg
 
Habari wadau HUMU Nimeona niwakumbushe kuwa kwa sheria ya za TRA sula zima la MAKADIRIO YA KODI kila mwaka, ni nyeti (hufanyika kati ya tar 1 jan hadi 31March kila mwaka). na kodi husika hulipwa kabla ya tar 31 March (kwa mhula wa kwanza - Robo ya kwanza). kuchelewa kunaambatana na penalty, ambayo huwa kubwa na inajikusanya kila mwezi wa kuchelewa kulipia. na makadirio yote yanafnyika online ktk mtandao wa TRA: e-filing.. yeyote alichaguliwa na kampuni aweza kufanya. nikasema nikufahamishe hilo lakini pia ninatoa huduma hiyo, ili kukuokolea muda na pia gharama.
 
Wapendwa, walipa kodi Tanzania.

katika vitu vyepesi kusahau ni tarehe za kodi na mbaya ya kusahau ni penati isiyo na msamaha. Sasa kwa upendo na kwa uzalendo nachukua fursa hii kukumbusha na kukumbushana. sioni haja ya kupigwa penati ya 225 000 kama inawezekana kuikwepa.

TAREHE muhimu kwa sasa ni kama ifuatavyo;
1. MAKADIRIO na malipo ya kodi robo ya kwanza ni kauzia atrh 1Jan hadi 31 March. ikifika tar 1Apr, penati ya mwezi mzima bila kukwepesha

2, RITANI ya mwaka. inaweza fanyika muda wowote kuanzia tar 1Jan hadi Tar 31Jun. ikifika tar 1 July tayari penati inahusu

3, MALIPO YA KILA MWEZI: PAYE, SDL, VAT

KUNA ANAYE HITAJI MSAADA ZAIDI ; USHAURI
TUPO KWA AJILI YA MTANZANIA YEYOTE BILA KUBAGUA

TRA.jpeg


TRAII.jpeg


AD FEB,22.jpeg
 
31 March, ni deadline ( siku ya mwisho) kwa makadiri ya kodi

Gharama y kuchelewa kufanya makadirio ni kubwa 225,000

okoa pesa fanya makadirio ya kodi mapema leo

kwa masaada zaidi 0788104228
 
Msaada jinsi kufile VAT returns kwa mfumo mpya.
Kutumia verification code.
 
Salamu wadau wa jamii forums na Watanzania wote popote mlipo.

Kwa unyenyekevu ningependa kukushirikisha habari hii kuhusu MUDA WA KUWASILISHA mahesabu ya KODI kwa mwaka 2021 kwa kampuni zilizo sajiliwa.

MUDA sasa siyo rafiki, kwa maana muda ni mchache (mfupi) ubebakia. Tarehe ya mwisho ni 31 june 2021 kwa mahesabu ya mwaka wa kodi 2021 na kwa ambaye hata fanikisha kuwasilisha kabla ya tarehe hiyo, adhabu (penati) atapewa isipokuwa kwa sababu ya msingi ya kwa maandishi au kwa kuomba kuongeza MUDA wa kuwasilisha mahesabu ya kodi tajwa.

Kwanini tuwasilishe mahesabu na tusisubirie dakika za mwisho? hapa nimeweka sababu kati ya sababu nyingi.

1. Kila kinachotakikana kuandaa hesabu za mwak awa kodi 2021 kinapaswa kiwe tayari kwa kampuni nyingi kama sio zote. Namaana DATA zote zinazo takiwa zinapaswa ziwe tayari mezani na kwa maana hiyo hamna sababu ya kuchelewa kuwsilisha hesabu za kodi ( data zinanzo takiwa ni za kuanzia tarehe 1 JANUARY hadi tarehe 31DECEMBER - 2021)

2. Kupepuka/ kuepa adhabu au penati ya kuchelewesha kuwasilisha mahesabu (angalau 225,000 - adhabu kwa kuchelewa kwa kila mwezi)

3. Ikiwa GARAMA YA KUANDAA ni kubwa, au huna wataalamu wa kuandaa. Tupo wataalamu tutakao fanya kazi yako kwa fasta na kwa garama nafuu sana. 0788104228 ni mawasiliano yetu. Ikiwa unaweza andaa hizo taarifa au tayari unao wataalamu wako bado nasisitiza ni vema kuwahi yawezekana una la kusema kwaajili ya UPENDO na UZALENDO kwa WATANZANIA WENZETU... sema neno tupone nasio tugonjoke. asante

FINANCIAL RETURN.JPG
 
Mleta mada tunaomba utuambie wanaotakiwa kuwasilisha hizo hesabu za kodi ni watu gani? Watu binafsi wenye sifa gani? Au makampuni kama ndio yenye biashara kuanzia kiasi gani?
Hebu eleza kitaalamu ili wengi waweze kujua na kuchukua hatua.
 
Mleta mada tunaomba utuambie wanaotakiwa kuwasilisha hizo hesabu za kodi ni watu gani? Watu binafsi wenye sifa gani? Au makampuni kama ndio yenye biashara kuanzia kiasi gani?
Hebu eleza kitaalamu ili wengi waweze kujua na kuchukua hatua.
KAMPUNI iliyosajiliwa nchini Tanzania ama iliyosajiliwa nje ya Tanzania lakini inatambuliwa na kufanya kazi zake za ki biashara inaangukia kwenye kundi la mlipa kodi halali. Hapa tunaongelea kampuni binafsi yaani private limited pamoja na kampuni za uma yaani pupblic limited.
Pamoja na walio sajili kama JINA LA BIASHARA lakini wametakwa na TRA kupeleka hesabu za kodi wanaangukia kaktika kundi hili.
Biashara ambazo hazipo katika kundi ili, ikiwa pamoja na JINA LA BIASHARA na BIASHARA zisizo sajiliwa wala hawakuombwa na TRA kufanya mahesabu ya kodi, wao hawahusiki; ISIPOKUWA wao wanatakwa kupeleka kodi zao sawasawa na MAKADIRIO - kila miezi 3.

Bila shaka nitakuwa nimejibu sawia,
Karibu...
 
NI TOO MUCH?
 

Attachments

  • TOO MUCH!.JPG
    TOO MUCH!.JPG
    25.6 KB · Views: 46
kwa HUDUMA za KAMPUNI
1. Audit of annual financial statements
2. Monthly VAT Return
3. Registration of employees for taxes SDL AND PAYE
4. Monthly payroll (TRA taxes SDL/PAYE, Social security (NSSF), Workers contribution to WCF.
5. Tax Planning, provisional assessment tax for quarterly corporate taxes, charges etc
6. Cash budgeting and monitoring of complicated credit/loan facility transaction(monthly)
7. Trade stock-taking and assets auditing and accounts reconciliation(monthly
8. Monthly management, bookkeeping, accounts and reconciliation
9. Compilation of financial statements
 

Attachments

  • 20230206_054638_0000.png
    20230206_054638_0000.png
    35.1 KB · Views: 36
  • 20230206_060115_0001.png
    20230206_060115_0001.png
    29.4 KB · Views: 32
  • 20230206_060742_0000.png
    20230206_060742_0000.png
    27.7 KB · Views: 33
  • 20230206_061440_0000.png
    20230206_061440_0000.png
    17.1 KB · Views: 31
Hesabu za mwaka za kampuni unaandaa kwa kiasi gani @ fees???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom