Hesabu Za LUKU Zinapigwaje

Hesabu Za LUKU Zinapigwaje

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,191
Reaction score
8,490
Habari Wadau! Hapo chini ni kipande cha maelezo ya umeme nilionunua kwenye simu.

Nimejaribu kupiga hesabu hizo asilimia hapo chini za VAT, REA na EWURA zote zinaonekana zimepigiwa hesabu kutoka kwenye shilingi 4098. Kwa gharama ya shilingi 5000, unaweza ona karibu shilingi 902 haipo hapo.

Sasa naomba mwenye kuelewa hizi hesabu zinapigwa vipi anisaidie. Yaani mchakato mzima hapo. Ahsante.

14.0KWH

0592 7638 3409 4517 9226

Cost 4,098.37
VAT 18% 737.70
EWURA 1% 40.98
REA 3% 122.95

TOTAL 5,000.00

Updates:
 
Attachments

  • IMG_20241109_163202_395.jpg
    IMG_20241109_163202_395.jpg
    313.5 KB · Views: 4
Habari Wadau! Hapo chini ni kipande cha maelezo ya umeme nilionunua kwenye simu.

Nimejaribu kupiga hesabu hizo asilimia hapo chini za VAT, REA na EWURA zote zinaonekana zimepigiwa hesabu kutoka kwenye shilingi 4098. Kwa gharama ya shilingi 5000, unaweza ona karibu shilingi 902 haipo hapo.

Sasa naomba mwenye kuelewa hizi hesabu zinapigwa vipi anisaidie. Yaani mchakato mzima hapo. Ahsante.

14.0KWH

0592 7638 3409 4517 9226

Cost 4,098.37
VAT 18% 737.70
EWURA 1% 40.98
REA 3% 122.95

TOTAL 5,000.00
washenzi wanapigia asilimia kwenye 4098.37
hapa kuna uwezekano 901.63 ambayo ni sawa na 18.03% inapigwa kila tunaponuna umeme.

Haiingi akilini asilimia zisikatwe kwenye jumla halafu ukijumlisha ije jumla ileile! swali la kujiuliza hiyo hela 901.63Tsh imeenda wapi?
 
Kama tunaanza na kupiga hesabu za LUKU
Tutafute hela aisee
Hoja ikiwekwa mezani inatakiwa ipanguliwe kwa hoja, wewe unaleta mambo mengine kabisa! Kwani iyo hela aliyonunulia umeme ulimpa wewe?

Halafu hela inaanzia shilingi ngapi? hivi hujiulizi iyo 901.63 ambayo haionekani hapo mleta mada anataka ufafanuzi ilikoenda wewe unaona ni upuuzi, vipi wakinunua umeme wa elfu tano watu laki moja ukizidisha 901.63 × 100,000 = 90,163,000 bado sio hela?
 
Habari Wadau! Hapo chini ni kipande cha maelezo ya umeme nilionunua kwenye simu.

Nimejaribu kupiga hesabu hizo asilimia hapo chini za VAT, REA na EWURA zote zinaonekana zimepigiwa hesabu kutoka kwenye shilingi 4098. Kwa gharama ya shilingi 5000, unaweza ona karibu shilingi 902 haipo hapo.

Sasa naomba mwenye kuelewa hizi hesabu zinapigwa vipi anisaidie. Yaani mchakato mzima hapo. Ahsante.

14.0KWH

0592 7638 3409 4517 9226

Cost 4,098.37
VAT 18% 737.70
EWURA 1% 40.98
REA 3% 122.95

TOTAL 5,000.00
Ww umenunua umeme wa 5000/= ila kiuharisia umenunua umeme wa 4098. Hiyo 902 iliyobak ni makato ya kodi ambayo ipo kwenye mgawanyo huo hapo. Ni sawa na ukinunua vocha mkuu
 
wewe ndo huelewi kumbe, iko ivi ukinunua vocha ya 5000 kodi(%) itakatwa kwenye hiyo elfu tano.

ila ukinunua umeme wa 5000 ni tofauti kodi inakatwa kwenye 4098.37 na hao wengine EWURA na REA asilimia zao watakata kwenye 4098.37 sasa swali la msingi 901.63 imeenda wapi maana jumla ya malipo ni 5000.
 
wewe ndo huelewi kumbe, iko ivi ukinunua vocha ya 5000 kodi(%) itakatwa kwenye hiyo elfu tano.

ila ukinunua umeme wa 5000 ni tofauti kodi inakatwa kwenye 4098.37 na hao wengine EWURA na REA asilimia zao watakata kwenye 4098.37 sasa swali la msingi 901.63 imeenda wapi maana jumpa ya malipo ni 5000.
Unatumia bundle la 1000 kuhoji 900
 
Lipa Kodi, Jenga uchumi wa Taifa lako!
Kwani hizo VAT, EWURA na REA si ndio Kodi zenyewe hizo, au!? Mimi nataka nielewe TU hizo hesabu niwe na Amani. Isije ikawa Yale mambo ya kuiba mia mia kwa Kila akaunti., unakuta watu wanakula mabilioni kwa ujinga wetu.
 
Habari Wadau! Hapo chini ni kipande cha maelezo ya umeme nilionunua kwenye simu.

Nimejaribu kupiga hesabu hizo asilimia hapo chini za VAT, REA na EWURA zote zinaonekana zimepigiwa hesabu kutoka kwenye shilingi 4098. Kwa gharama ya shilingi 5000, unaweza ona karibu shilingi 902 haipo hapo.

Sasa naomba mwenye kuelewa hizi hesabu zinapigwa vipi anisaidie. Yaani mchakato mzima hapo. Ahsante.

14.0KWH

0592 7638 3409 4517 9226

Cost 4,098.37
VAT 18% 737.70
EWURA 1% 40.98
REA 3% 122.95

TOTAL 5,000.00
Hiyo Tsh. 902 ndiyo gharama za kodi (VAT+EWURA+REA), ambayo ukijumlisha na umeme ulionunua (wa Tsh. 4,098) unapata jumla Tsh. 5,000/=. Kwa hiyo mmegawana hiyo elfu 5. Ungepewa umeme wa elfu 5 kama hayo makato (VAT, EWURA, REA) yasingekuwepo. Kwa hiyo kila unapotaka kununua umeme kuna kama 20% ya pesa yako ambayo ni ya kodi.
 
wewe ndo huelewi kumbe, iko ivi ukinunua vocha ya 5000 kodi(%) itakatwa kwenye hiyo elfu tano.

ila ukinunua umeme wa 5000 ni tofauti kodi inakatwa kwenye 4098.37 na hao wengine EWURA na REA asilimia zao watakata kwenye 4098.37 sasa swali la msingi 901.63 imeenda wapi maana jumpa ya malipo ni 5000.
Wewe Sasa ndio Umelewa hoja yangu. Safi.
 
Hoja ikiwekwa mezani inatakiwa ipanguliwe kwa hoja, wewe unaleta mambo mengine kabisa! Kwani iyo hela aliyonunulia umeme ulimpa wewe?

Halafu hela inaanzia shilingi ngapi? hivi hujiulizi iyo 901.63 ambayo haionekani hapo mleta mada anataka ufafanuzi ilikoenda wewe unaona ni upuuzi, vipi wakinunua umeme wa elfu tano watu laki moja ukizidisha 901.63 × 100,000 = 90,163,000 bado sio hela?
Na wanavuka Hao laki Moja na bado kesho napo dah!
 
Back
Top Bottom