Hesabu za maandamano, na hamasa ya waandamanaji

Hesabu za maandamano, na hamasa ya waandamanaji

Sawa ikifika tarehe 7 July ingia road
Subiri utaona mchezo, na msiombe tukapata silaha, maana silaha ndio zinawapa kiburi kuua na kuteka wananchi wasiowakubali. Na kwa taarifa yako maandamano haya ni utangulizi wa maandamano makubwa kuelekea michuano ya AFCON mwakani. Yaani mtajuta kupora uchaguzi na kufanya mauaji. Tunataka baada ya mauaji mtakayofanya watakaobaki hai mkiambiwa yanatakiwa mabadiliko ya kweli mtii kwa haraka.
 
Haya maelezo hapa chini yanapingana na mbwembwe ulizoziweka mwanzoni mwa uzi wako
Tuwe na subira mbona maisha yanaenda freshi tu yaani ukosee mwenyewe life style kisha uisingizie serikali.

Jitafakari.
Huwezi kuelewa mabandiko yangu huwa naandika hivyo,unajua kung'ata na kupuliza
 
Kama maandamano yapo kisheria, ni kipi kinawafanya muone ni kosa kuandamana. Subirini watu waandamane muwaambie walipo ndugu zetu mliowauwa, na wapi kura 31m zilitokea. Hamuwezi kuingia madarakani kwa kupora uchaguzi, kisha mtake watu wakae kimya. Siku hiyo watu wataandamana na hakuna chochote kitaharibiwa, lakini lazima tupate majibu ya matakwa yetu.

Mlikuja na utapeli wa kuanza mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100, lakini mko kimya mnajifanya hakuna lolote limetokea, mnategemea tukae kimya kama mazombie.
The level of immaturity
 
Siku hiyo natoka na Magazini 5 kummq acha waje hatutaki mama zenu waje kulia mitandaoni
Nenda kwenye Kijitabu ukafute neno Maandamano kabla ya kutoka na Magazini 5 kuwaua wanaotaka kuandamana kwa kutumia kijitabu kilichomweka mama yako madarakani baada ya kifo cha Magufuli.
 
Subiri utaona mchezo, na msiombe tukapata silaha, maana silaha ndio zinawapa kiburi kuua na kuteka wananchi wasiowakubali. Na kwa taarifa yako maandamano haya ni utangulizi wa maandamano makubwa kuelekea michuano ya AFCON mwakani. Yaani mtajuta kupora uchaguzi na kufanya mauaji. Tunataka baada ya mauaji mtakayofanya watakaobaki hai mkiambiwa yanatakiwa mabadiliko ya kweli mtii kwa haraka.
Kwahiyo mmepanga kuwa na silaha,mmetumia vigezo gani kuwa na silaha kwahiyo kumbe tarehe 7 July kuna vita na si maandamano tena.

Na mnafadhiliwa na nani
 
Swali ni jepesi mno boss. Watu hawana hatia, kwanini waumie? Kwa sababu wameandamana? Huko kuumia kwa wasio na hatia kunatokana na nini kama maandamano ni ya amani na kwa mujibu wa katiba? Haiwezekani hao wenye haki wakaandamana wakarudi makwao bila kuumia?
Nyie ni watu selfish, mnatumia influence ya hao activists kuumiza watu ambao hata hawana hatia

Fikiria MTU anayeshindwa kufanya shughuli zake za kiuchumi au kuuliwa n.k akiwa katika kazi zake n.k

Uku nyie familia zenu zipo safe

Jiulize hao wanaharakati Kuna hata Mmoja aliandamana Ile 29/10

Au alipoteza mtoto au ndugu ?.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Je katiba inatambua maandamano mleta uzi katiba inasemaje kuhusu maandamano????
 
Kwahiyo mmepanga kuwa na silaha,mmetumia vigezo gani kuwa na silaha kwahiyo kumbe tarehe 7 July kuna vita na si maandamano tena.

Na mnafadhiliwa na nani
Kama tunataka kuandamana kwa amani mnasema tutauwawa, unategemea tutaendelea kudai haki zetu kwa kuvaa t-shirt za mwenge? Siku hiyo mtaonyesha kura 31m zilitokea wapi, na huo mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100 umefikia wapi. Ni hivi, hakuna wajinga wala waoga wa kudumu.
 
Nyie ni watu selfish, mnatumia influence ya hao activists kuumiza watu ambao hata hawana hatia

Fikiria MTU anayeshindwa kufanya shughuli zake za kiuchumi au kuuliwa n.k akiwa katika kazi zake n.k

Uku nyie familia zenu zipo safe

Jiulize hao wanaharakati Kuna hata Mmoja aliandamana Ile 29/10

Au alipoteza mtoto au ndugu ?.
Ni wajinga Sana hawa watu
 
Tuendelee kuwaachia kundi la wachache watuongoze watakavyo mpaka mwisho.
 
Nyie ni watu selfish, mnatumia influence ya hao activists kuumiza watu ambao hata hawana hatia

Fikiria MTU anayeshindwa kufanya shughuli zake za kiuchumi au kuuliwa n.k akiwa katika kazi zake n.k

Uku nyie familia zenu zipo safe

Jiulize hao wanaharakati Kuna hata Mmoja aliandamana Ile 29/10

Au alipoteza mtoto au ndugu ?.
Jibu swali, kuandamana ni makosa? Ama unadhani watu hawajui haki yao ya kikatiba, hadi wakitaka kuandamana ionekane ni makosa?
 
Kupanga maandamano siku ya sikukuu,ni dalili ya kushindwa mbinu
 
Kwamba duniani hakuna serikali zilizoanguka kwa maandamano?
Zipo ila kwa TZ haiwezekani yaani watu kumi mnapanga kuandamana ila siku ikifika mnajikuta mpo wa3 yaani 7 wamekula kona🤣🤣🤣🤣
 
Nyie ni watu selfish, mnatumia influence ya hao activists kuumiza watu ambao hata hawana hatia
Hoja unazozitumia zina mapungufu ndo maana nakuuliza maswali. Huwezi sema msiandamane sababu kuna wasio na hatia watapoteza maisha au wataumia. Wataumizwa na nani? Serikali? Au waandamanaji? How? Why?
Fikiria MTU anayeshindwa kufanya shughuli zake za kiuchumi au kuuliwa n.k akiwa katika kazi zake n.k
Ndo swali linakuja, kwanini kuuliwa? Kwanini shughuli za uchumi zisiendelee? Sababu ni nini?
Uku nyie familia zenu zipo safe

Jiulize hao wanaharakati Kuna hata Mmoja aliandamana Ile 29/10

Au alipoteza mtoto au ndugu ?.
Kwanini watu wanaotaka kuandamana wasababishe mtoto apotee au ndugu? Katiba iliruhusuje jambo ambalo ili litokee lazima vifo viwepo?

Unataka watu wasiandamane? Washawishi kwa hoja zenye mashiko, sio hizi zinazoonyesha kuwa tuna tatizo kubwa la kiutawala kwamba haiwezekani kuandaa mazingira ya wenye kero zao kusikilizwa bila kuuliwa au uchumi kusimama.
 
Mimi sitishi watu,kilichotokea wote tumeona Hadi leo wengi wenu hamridhishwi na tume ya jaji chande
Wewe uliridhika na yale majibu?

Kwanza umeongelea uchomaji wa vituo na biashara.
Nikikuambia jeshi la polisi ndio wahusika utakataa?

Hivi kweli tuna jeshi linalosifika kwa KUF!R@ serious mnaona tuna serikali kweli au genge la wahuni na vibaka?

Unasema maisha magumu kwa kuwa hatufanyi kazi? Kwa uchumi gani? Kodi zinazokusanywa zinamsaidia vipi mwananchi?

Why tusiandamane na hatuna haki ya kuchagua viongozi?
 
Nalima napata vihela hela angalau pia kula uhakika sasa niandamane ili nigundue nini yaani niache kupiga nyeto nikaandamane??? Wat e nan sensi🏃🏃🏃🏃
 
Nalima napata vihela hela angalau pia kula uhakika sasa niandamane ili nigundue nini yaani niache kupiga nyeto nikaandamane??? Wat e nan sensi🏃🏃🏃🏃
Kuna mzazi wa mtu miaka 50+ ameamkia kwenye mitandao ya kijamii kujadili mimba ya wema.
Hakika Samia anaongoza vichaa.
 
Back
Top Bottom