Hesabu za maandamano, na hamasa ya waandamanaji

Polisi na Askari wote ni binadamu na ni watanzania, mara nyingi wanafanya kazi Kwa Amri si Kwa matakwa yao,kila wanalofanya lipo kisheria kama itifaki inavyotaka.
Abductions, tortures and killings zinazofanywa na polisi zipo kisheria?

Andiko refu lakini halina tofauti na empty set!
 
Kinachi
Kinachonishangaza ni JMT inakiburi, wanajiona Mungu watu
 
Sawa mkuu
Tanganyika ni ya kwetu wote. Mna raisi muuaji Samia alopqta kura nyingi kama kweli? Vipi raisi huyu muaji aogope na kuwatisha watu walomchagua Hadi kujaza mapolisi Kila Kona ya jj?
Si anqkubalika? Anaogoopq nn?
 
Jibu swali we zezeta wa CCM.

Duniani hakuna nchi zilizodondoshwa kwa maandamano?

Yale maandamano ya oct29 waliandamana dada zako na ukoo wako?

Nyie CCM jiandaeni kuondoka madarakani muwe mnataka au hamtaki iwe kwa amani au maandamano.
Kama mifumo ya usalama ya nchi husika inaiunga mkono serikali hakuna raia wenye uwezo wa kuiangusha hata mngeandamana mwaka mzima zaidi mtakufa kama kuku mpaka muishe kama ilivyo tokea tarehe 29.

Kuanguka kwa serikali huwa kuna tokea iwapo kutatokea hitirafu kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa vyombo vya usalama lakini raia kama raia hawana uwezo wa kuiangusha serikali bila msaada wa vyombo vya dora.
 
Katika kosa ambalo hamtakiwi hata kuliwaza ni kujaribu kutoka na silaha maana vyombo vya usalama vitapata sababu nzuri za kuwasaga vizuri na kitendo cha kubeba silaha kupambana na polisi unakuwa umejindolea kinga kwa mujibu wa sheria za kimataifa hivyo hata hao UN na umoja wa ulaya hawatakuwa na nguvu ya kukutetea.
 
Minilikuwa sijui, naonawe ndio unasambaza hizo taarifa.
 
MAANDAMANO NI HAKI YA KIKATIBA USISAHAU.
TANZANIA SIO KISIWA MIKATABA YOTE TULIYOUNGIA INARUHUSU HAKI YA KUANDAMANA.
 
Acha watu waandamane, nashangaa unauliza uliwahi kuona lini familia ya Mbowe barabarani kwanza Mbowe sio anayeitisha maandamano haya na pili yeye na familia yake ndio watu pekee walioandamana siku ile. Kwahiyo huna lolote zuri isipokuwa kuwaogopesha watanzania na kuistawisha CCM, please shut up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…