Hesabu za maandamano, na hamasa ya waandamanaji

Hadi sasa hakuna raia aliyetoka na silaha, hao UN na EU wametetea nini, na nani kawajibishwa? Si kila siku mnajiliza humu watu wakitaka utetezi wa hao wazungu? Mnataka watu waendelee kutoka kiboya wakitegemea utetezi usio na nguvu wa nje?
 
Wewe ni mhandisi ,tena mzalendo, ikifika July 7 ingia road acha janjajanja na ujasiri wa mitandaoni
Kwan watu walipoingia road uliwambia wewe. Yani watu wamepanga wenyewe kuandamana unajifanya wewe ndio unajua maandamano ya watu kuliko waliopanga huo ndio ujinga na upumbavu wenu mliojazwa huko lumumba wakati mwenez wenu anawaza kujinyea akisikia maandamano, by the way acha shobo na shughuli za watu maana hawahutaji kuambiwa na mjinga kama wewe. Wewe endelea kusafisha mitaro ya mavi kwenye vyoo vya Abdul na lumumba.
 
CCM njooni na Polisi wenu mtuangamize kisha maiti zetu.mkazichome moto kwenye tanuri la kuyeyushia saruji wazo hill
 
Huna lolote.
Njaa zinakusumbua tu.
Unatapatapa tu huku na kule.
Hicho kichwa kimejaa funza tupu.
Kuwa na msimamo wa ushirikina kama wachawi wenzako, acha kuigiza vuguvugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…