Hesabu za Mimba na Birthday

Hesabu za Mimba na Birthday

Gautten Potten

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
1,642
Reaction score
3,426
Anayeelewa hili fumbo.

Mimba hadi kuzaliwa miezi ni Tisa.
Ila birthday yako ni kila baada ya miezi kumi na mbili.

SWALI
Sasa pale kwenye tisa ya tumboni na huku kumi na mbili mbona kama tunaiba miezi mitatu isiyo husika katika umri wetu au nyie mnaonaje ?
 
Wanahesabu muda saa dakika sekunde tangu umezaliwa sio miezi, rotation ndio ipo hivyo wakijumlisha ilete siku 365 ambayo ni sawa na mwaka 1 ndio maana ukizaliwa tu inawekwa rekodi ulizaliwa saa ngap siku gan na wapi.
Acha kukariri.

404: Page Not Found
 
Hujaelewa swali acha ujuaji.
Soma kwa kutulia.
 
Back
Top Bottom