Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
- Thread starter
- #21
Poti hii ni chit chat na swali ni la kizushi ila watu wamenuuuna km twasemea BandariCase Closed...Boma Liwanza .. Boma Yee!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poti hii ni chit chat na swali ni la kizushi ila watu wamenuuuna km twasemea BandariCase Closed...Boma Liwanza .. Boma Yee!!
Ila kila baada ya miezi 12 unaadhimisha kuzaliwa tenaHatukumbuki siku ya kutungwa mimba (miezi 9).
Tunakumbuka siku ya kuzaliwa.
huo ndio ukwelHatukumbuki siku ya kutungwa mimba (miezi 9).
Tunakumbuka siku ya kuzaliwa.
Binadamu aliyekamilika anazaliwa miezi kumi (40weeks ) na sio miezi Tisa (36 weeks)Anayeelewa hili fumbo.
Mimba hadi kuzaliwa miezi ni Tisa.
Ila birthday yako ni kila baada ya miezi kumi na mbili.
SWALI
Sasa pale kwenye tisa ya tumboni na huku kumi na mbili mbona kama tunaiba miezi mitatu isiyo husika katika umri wetu au nyie mnaonaje ?
39wks itakuwa Pre- term au full ? kwa maoni yako chiefBinadamu aliyekamilika anazaliwa miezi kumi (40weeks ) na sio miezi Tisa (36 weeks)
Term ni 36 weeks ,40 weeks ni full term ,above 40 ni post term below 36 ni pre term.39wks itakuwa Pre- term au full ? kwa maoni yako chief