Hesabu za Mimba na Birthday

Hesabu za Mimba na Birthday

Anayeelewa hili fumbo.

Mimba hadi kuzaliwa miezi ni Tisa.
Ila birthday yako ni kila baada ya miezi kumi na mbili.

SWALI
Sasa pale kwenye tisa ya tumboni na huku kumi na mbili mbona kama tunaiba miezi mitatu isiyo husika katika umri wetu au nyie mnaonaje ?
Binadamu aliyekamilika anazaliwa miezi kumi (40weeks ) na sio miezi Tisa (36 weeks)
 
Back
Top Bottom