SAWEBOY
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 241
- 174
- Thread starter
- #21
siyo kama haku-do naye..... na najua mpaka mtu amsingizie mtu mimba ni ame-do naye ma bila kinga...... ila kuna wimbi kubwa sana la wadada anakuwa na wakaka zaidi ya 1 lakini anachagua nani amsingizie mimba hata kama siyo yake, na matokeo yake wakienda kwenye vipimo wanakuta siyo.
Kumbe bibie una ma-point kweli, na hiyo ndo sababu ya jamaa kusitsita coz demu anamkia wa nguvu so jamaa hajiamini kama yupo alone na anahofu labda Mileage inasoma sana karibu kila siku na huenda kabambikiwa tu!
Nakupa thanks mammy japo MODS kitufe cha thanks wamekitoa!!!