siyo kama haku-do naye..... na najua mpaka mtu amsingizie mtu mimba ni ame-do naye ma bila kinga...... ila kuna wimbi kubwa sana la wadada anakuwa na wakaka zaidi ya 1 lakini anachagua nani amsingizie mimba hata kama siyo yake, na matokeo yake wakienda kwenye vipimo wanakuta siyo.
Kumbe bibie una ma-point kweli, na hiyo ndo sababu ya jamaa kusitsita coz demu anamkia wa nguvu so jamaa hajiamini kama yupo alone na anahofu labda Mileage inasoma sana karibu kila siku na huenda kabambikiwa tu!
Nakupa thanks mammy japo MODS kitufe cha thanks wamekitoa!!!
Mpendwa Husninyo,
Asante kwa maelezo, but ni siku ya sita tangu aanze MP, sasa hapo ndo hesabu zinakuwa ngumu! ingekuwa 6 tangu amalize MP hiyo inaeleweka vema.
kama ni siku sita kuna siku 4 kufikia danger zone na mbegu za kiume husurvive siku 3 kama sikosei kwahiyo.
Kwa case yako ni ngumu labda kama mdada hajahesabu siku vizuri au awe mzunguko wake tofauti na watu wengi maana haya mambo nayo hayapo constant na kutegemea calender tu hatari yake ndio hiyo.
Ngoja niwaandalie pampers.
wakuu tusiconfirm tu
Hilo lililokula mzigo lituambie lilikua mzigo au lilifanya mapenzi? kama lilikula mzigo basi litalea kizigo, kama lilifanya mapenzi basi lirudi likaangalie kalenda na kujipanga
DNA should be the last option
Sawa mkuu, nimekusoma vema, lakini usiwe mkali sometimes dah!! hadi nilitamani kukumbia jukwaaa!!! Ok, nitakutafuta kwa ajili ya hizo pampers maana maandalizi ni muhimu kuanza mapema!! na pia usisahau kupendekeza jina mkuu!!!
Alaa! kumbe ni wewe mwenyewe hahaha!Sawa mkuu, nimekusoma vema, lakini usiwe mkali sometimes dah!! hadi nilitamani kukumbia jukwaaa!!! Ok, nitakutafuta kwa ajili ya hizo pampers maana maandalizi ni muhimu kuanza mapema!! na pia usisahau kupendekeza jina mkuu!!!
Asante but now nimekusoma vema, wewe ni mama ushauri mzuri sana so nashukuru sana mkuu!
Alaa! kumbe ni wewe mwenyewe hahaha!
Hili swali nishalichoka.
Unauliza siku ya sita baada ya kumaliza mp au siku ya sita tangu aanze mp?
Kama ni siku ya 6 tangu amalize jibu ni mimba anayo (4 alizokuwa mp+6=10), Maana mimba ni siku ya 10-16 tangu kuanza mp.
Sawa mamii.hebu mchunie bwana. Lol!
Sawa mamii.
wameweka cha like, unaweza kuendelea hapo, ha haaaaaaaa.
kwa kweli wadada wa hivyo wapo wengi sana. kuna mwingine ali-do na mtu mwezi dec, kumbe alimiss na jamaa hakutokea tena, 4 months baadae akapata mimba huko alikoipata bado anamng'ang'ania jamaa kuwa ni mimba yake. sijui twaenda wapi!