<br />Hilo linahitaji msaada wa kidakitari zaidi....<br />
ila nina swali, kwa nini wadada siku hizi wanapenda sana kusakizia watu mimba? hivi hawaoni aibu kuumbuka na siku hizi hivi kuna vipimo vya DNA?
DNA siku hizi nasikia ni shughuli pevu eti mpaka upate kibali cha mahakama , sijui ni kweli?Well said Husninyo...:A S 39:
mpe hongera zake rafiki yako hadi pale DNA itakapobadili muelekeo,huyo aweza kuwa mwanae!
Mimi ni ngumu kumwamini mtu anayejitetea kuwa mimba si yake kwa kuwa eti 'msichana mwenyewe alikuwa ana wanaume wengi!". Kweli dunia hii na maradhi inakuwaje unatembea na mwanamke "mwenye wanaume wengi" na unajua kuwa "ana wanaume wengi" bila kutumia KINGA. Au unamwamini huyo msichana "mwenye wanaume wengi" na pia unawaamini hao "wanaume wengi" kuwa wooote wako negative?
Nadhani mkuu wewe huku TZ labda umeondoka miaka ya 70, na huwajui wadada wa kibongo wa siku hizi. Wao hawana mapenzi ila ni pesa juu tu, yaani macho yao ni kuangalia wapi aegemee leo apate mkwanja so unakuta anakuwa na listi ndefu ya wanaume hadi anajaza mabasi yale makubwa ya Summry matatu au matano, sasa wewe unasema nini bwana? Njoo huku bongo uone wanaume wanavyopangwa namba mkuu, ni vigumu kujua mkuu! Uaminifu sasa kwa dada zetu ni zero!
Tafadhali baba..kijana sijui mzee...sio kila mtu ana njaa na vijisenti vya wanaume kwahiyo acha kufanya tabia za watu kadhaa kua tabia za watu wote!!!Na hao dada zako sijui zenu hawaiwakilishi nchi!:frusty:
Am sorry madam Lizzy,
Huwa nakupa respect sana mkuu. Ni kweli nimefanya kosa kwa ku-generalise but sio wote baadhi ya wadada walio wengi but sio wote ktk Tanzania coz wengine wanajuheshimu sana.
Lizyy na wengine am sorry kwa kuwakwaza. Forgive me plse!
Nadhani mkuu wewe huku TZ labda umeondoka miaka ya 70, na huwajui wadada wa kibongo wa siku hizi. Wao hawana mapenzi ila ni pesa juu tu, yaani macho yao ni kuangalia wapi aegemee leo apate mkwanja so unakuta anakuwa na listi ndefu ya wanaume hadi anajaza mabasi yale makubwa ya Summry matatu au matano, sasa wewe unasema nini bwana? Njoo huku bongo uone wanaume wanavyopangwa namba mkuu, ni vigumu kujua mkuu! Uaminifu sasa kwa dada zetu ni zero!
Duuh, kwa haya maelezo basi bado kazi ni mbichi! Kama mtu anafahamu vyema kwamba "wadada wa kibongo" wana tabia hizo, kwa nini aamue kujilipua kwa kuingia kavukavu bila kinga? kama alipenda kula "stereo", hana budi kukubali matokeo ya muziki wake..
kwa kawaida hesabu huwa zinakataa automatically ukiambiwa ana mimba ila vinginevyoo aaa mwenyewe kwa raha zako bila kinga..mxii
be a gentleman Saweboy and face your music, ungekuwa makini ungetumia kinga, wacha mambo yako..tuko kwenye jitihada za kupunguza watoto wa mitaani hapa..lea mimba hiyo babaa ni yako until ufanye DNA igundulike si yako.simpo
Ok, nimekupata mpendwa na nimekubali maneno yako, sasa tukifanya DNA na mtoto akiwa sio wangu je hapo naruhusiwa kumdai huduma/gharama nilizomhudumia til that time au inakuaje napo my dear? naomba ushauri juu ya hilo wakuu wa Jf!