(CCM - Membe) < (Membe + CDM+ACT+ spana + wapenda mabadiliko)Hizo hesabu ziko wapi ?
Shida ni kwamba Membe hawezi kuwashawisha wana CCM (wasioipenda CCM ya awamu ya tano) na rafiki zake wampende Lissu, kwao wao Membe is well known and secure than Lissu; fear of both known and unknown origin.Yaani wewe bure kabisa. Unaonaje Membe amuunge mkono Lissu ili kura za wanachadema wote azipate, kura za wanaccm wasiopenda mambo yanayofanyika ccm azipate? Maana wanamageuzi wa kweli hawawezi kumchagua mgombea yoyote aliyetoka ccm. Ukiumwa na nyoka hata ukiguswa na jani lazima uruke. Lowassa katuuma hatuko tayari kutake risk anymore, hivyo hata jani likitugusa lazima turuke.
Wana CCM gani wapo na Membe wewe kavulana?Shida ni kwamba Membe hawezi kuwashawisha wana CCM (wasioipenda CCM ya awamu ya tano) na rafiki zake wampende Lissu, kwao wao Membe is well known and secure than Lissu; fear of both known and unknown origin.
Lissu Asirogwe akaanza kukejeli ununuzi wa ndege, ujenzi wa reli na barabara, vituo vya afya na ukarabati wa shule uliofanywa kwenye awamu hii atajikuta akipingwa na wananchi wengi. Ni kweli sasa hivi kero ya rushwa imepungua hata wananchi wanafahamu hili. Hivyo laZIMA ACHAGUE LA KUZUNGUMZA AKIWA JUKWAANI, ASIFOKEFOKE HAITAMSAIDIA.Membe hanalolote alilofanya akiwa serikalini kwa miaka yote aliyo kua uko hana lolote la kuwaeleza wananchi, Lisu kwa miaka yote akiwa mbunge yeye sikuzote amekua anaipinga serikali bila kutoa suluhisho la nini kifanyike. Jambo kubwa nililoliona kwa Lisu ni kauliyake ya kuwapa Uhuru wapenzi wa jinsia mmoja wajisikie wapo salama ndani ya Tanzania.
Kwa ujumla awa wote hawataweza kuongeza chochote kwa upinzani.
Yeye mwenye pia alikuwa LofaHuo ni mhemuko ndo maana marehemu aliwaita malofa. Haya ni maoni yangu tu mm nisiyekuwa na chama.
Lissu Asirogwe akaanza kukejeli ununuzi wa ndege, ujenzi wa reli na barabara, vituo vya afya na ukarabati wa shule uliofanywa kwenye awamu hii atajikuta akipingwa na wananchi wengi. Ni kweli sasa hivi kero ya rushwa imepungua hata wananchi wanafahamu hili. Hivyo laZIMA ACHAGUE LA KUZUNGUMZA AKIWA JUKWAANI, ASIFOKEFOKE HAITAMSAIDIA.
AKITAKA MAMBO YAMNYOOKEE ANGALI KIDOGO AZIBEZE JUHUDI ZILIZOFANYWA NA CCM, BADALA YAKE ATOE NJIA MBADALA YA KUENDELEZA KILICHOANZISHWA NA CCM MAANA NI KODI ZETU. Hakuna mtu atamuelewa kama atasimama jukwaani na kusema kujenga reli ni makosa, kujenga bwawa la umeme ni makosa, kujenga hospitali ni makosa, kutokomeza ujangiri ni makosa, hataeleweka kaabisa