Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
kutoka robo fainali mpk fainali!!!ngoja tuone hii...kye kye kyeeeNjia rahisi kwa Mabingwa wa muda wote wa Tanzania kutwaa ni kumaliza mechi ya mwisho wakiwa nafasi ya pili katika kundi.
1. US Monastir
2. Young Africans SC
3. Real Bamako
4. TP Mazembe
(Kimsingi tutamaliza tukiwa nafasi ya pili)
Ambapo posible opponents wetu watakuwa ni wale walio ongoza makundi yao ambao ni aidha:
1. Rivers United
2. Malumo Galants
3. Far Rabat
Yanga SC atapangiwa - Far Rabat
Rivers United atapangiwa Malumo Galants
Kwa namna Yanga SC wanavyowaoneaga Waarabu basi matokeo yatakuwa
1st leg: Yanga SC 2 - 0 Far Rabat.
2nd leg: Far Rabat 1 - 1 Yanga SC.
Yanga SC atacheza fainali dhidi ya Malumo Galants.
FINAL:-
1st leg: Yanga SC 1 - 0 Malumo Galants.
2nd leg: Malumo Galants 1 - 1 Yanga SC.
YANGA SC BINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO LA 2023.
Utopolo ndo atachukua ubingwa utapangiwa rivers atakukanda tenaSimba SC wataishia Robo Fainali.
Hawana mpira mzuri wa kushindana na ma-GIANTS.
Kwa hiyo ndio unajivunia kuwa kwenye kombe la walioshindwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiangalia trend ya matokeo kwenye haya mashindano, utagundua kwamba timu nyingi zinazoshiriki hazitofautiani sana uwezo na Yanga. Hivyo Wananchi wakichanga karata zao vizuri, lolote linaweza kutokea.
Ni tofauti kabisa na ule upande wa pili ambako kuna timu piga ua! Lazima zifike fainali, na ikiwezekana kuchukua kabisa ubingwa! Imagine timu kama Mamelody Sundowns, Aly Ahly, Raja Casablanca, Wydad Casablanca, Eperance, nk.
Hivi wadogo zetu watapitia wapi ili kufika hiyo fainali? Huku wakiwa na kikosi cha wachezaji wale wale! Maana hata kwenye mashindano tu ya ndani ya ASFC, wachezaji wanapangwa wale wale!! Watafika kweli hata kwenye hatua ya nusu fainali? Mara zote safari yao itakuwa inafikia tamati kwenye hatua ya Robo fainali tu.
Acha hizo sis basi 🙂🙂Tawireeee tawiree
Wakati huo hao ma opponents wamelala uwanjani..
Hayo Mashindano yenu yenyewe hayana semi final🤣🤣🤣🤣Njia rahisi kwa Mabingwa wa muda wote wa Tanzania kutwaa ni kumaliza mechi ya mwisho wakiwa nafasi ya pili katika kundi.
1. US Monastir
2. Young Africans SC
3. Real Bamako
4. TP Mazembe
(Kimsingi tutamaliza tukiwa nafasi ya pili)
Ambapo posible opponents wetu watakuwa ni wale walio ongoza makundi yao ambao ni aidha:
1. Rivers United
2. Malumo Galants
3. Far Rabat
Yanga SC atapangiwa - Far Rabat
Rivers United atapangiwa Malumo Galants
Kwa namna Yanga SC wanavyowaoneaga Waarabu basi matokeo yatakuwa
1st leg: Yanga SC 2 - 0 Far Rabat.
2nd leg: Far Rabat 1 - 1 Yanga SC.
Yanga SC atacheza fainali dhidi ya Malumo Galants.
FINAL:-
1st leg: Yanga SC 1 - 0 Malumo Galants.
2nd leg: Malumo Galants 1 - 1 Yanga SC.
YANGA SC BINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO LA 2023.
Haya bro hahahaAcha hizo sis basi 🙂🙂
Tuombeane mema
Hiko ndiko ninachokiona huko mbeleni.Ngoja tuone maajabu. Maana piga ua lazima watapangwa tu na Mwarabu. Na simba kwa Mwarabu hajawahi kufurukuta. Anaweza akashinda goli 1 kwa Mkapa, halafu akifika Uarabuni anapigwa 5!
Kinyume na hapo anaweza kupigwa nje ndani, kama atakavyo mfanyia Raja Casablanca kwenye mechi yao ya mwisho.
Mashabiki ya utopolo ni vilaza na hawajawahi kufika hata robo ndo mana wanajua ukitoka robo unaingia fainalikutoka robo fainali mpk fainali!!!ngoja tuone hii...kye kye kyeee
Na hata ukiangalia matokeo kwa kumla, yaani timu zote zilizo kwenye "LUZA KAP", ukizipanga kwenye msimamo mmoja mpaka hatua hii ya mzunguko wa 5, UTO watakuwa nafasi ya pili kwa kuzidiwa utofauti wa goli moja tu (Goal Difference) na kinara AS FAR wala sio pointi.Ukiangalia trend ya matokeo kwenye haya mashindano, utagundua kwamba timu nyingi zinazoshiriki hazitofautiani sana uwezo na Yanga. Hivyo Wananchi wakichanga karata zao vizuri, lolote linaweza kutokea.
Ni tofauti kabisa na ule upande wa pili ambako kuna timu piga ua! Lazima zifike fainali, na ikiwezekana kuchukua kabisa ubingwa! Imagine timu kama Mamelody Sundowns, Aly Ahly, Raja Casablanca, Wydad Casablanca, Eperance, nk.
Hivi wadogo zetu watapitia wapi ili kufika hiyo fainali? Huku wakiwa na kikosi cha wachezaji wale wale! Maana hata kwenye mashindano tu ya ndani ya ASFC, wachezaji wanapangwa wale wale!! Watafika kweli hata kwenye hatua ya nusu fainali? Mara zote safari yao itakuwa inafikia tamati kwenye hatua ya Robo fainali tu.
Tawireeee tawiree
Wakati huo hao ma opponents wamelala uwanjani..
Hatuwezi kubishana na kina Ashura cheupe maana ni wabishi hao... 😆 😆CAF CC Yanga Bingwa
NBC Yanga Bingwa
Azam CC Yanga Bingwa
NGAO Hisani Yanga Bingwa
Atakaye bisha atakuwa na tabia za afwande wa zenji
Sasa unakasirika nini kwani amekua bingwa kweli utapata maradhi bureMashabiki ya utopolo ni vilaza na hawajawahi kufika hata robo ndo mana wanajua ukitoka robo unaingia fainali
Huko kwenye Luza ndio mlishikwa uchawi nchi za watuNa hata ukiangalia matokeo kwa kumla, yaani timu zote zilizo kwenye "LUZA KAP", ukizipanga kwenye msimamo mmoja mpaka hatua hii ya mzunguko wa 5, UTO watakuwa nafasi ya pili kwa kuzidiwa utofauti wa goli moja tu (Goal Difference) na kinara AS FAR wala sio pointi.
Bila shaka wamekusikia wenyewe. Mimi ni Mwananchi.Huko kwenye Luza ndio mlishikwa uchawi nchi za watu