Hesabu zinambeba Yanga SC kuwa bingwa CAFCC 2023

Screenshot_20230320-124354.png
 
Njia rahisi kwa Mabingwa wa muda wote wa Tanzania kutwaa ni kumaliza mechi ya mwisho wakiwa nafasi ya pili katika kundi.

1. US Monastir
2. Young Africans SC
3. Real Bamako
4. TP Mazembe

(Kimsingi tutamaliza tukiwa nafasi ya pili)

Ambapo posible opponents wetu watakuwa ni wale walio ongoza makundi yao ambao ni aidha:

1. Rivers United
2. Malumo Galants
3. Far Rabat

Yanga SC atapangiwa - Far Rabat
Rivers United atapangiwa Malumo Galants

Kwa namna Yanga SC wanavyowaoneaga Waarabu basi matokeo yatakuwa

1st leg: Yanga SC 2 - 0 Far Rabat.

2nd leg: Far Rabat 1 - 1 Yanga SC.

Yanga SC atacheza fainali dhidi ya Malumo Galants.

FINAL:-

1st leg: Yanga SC 1 - 0 Malumo Galants.

2nd leg: Malumo Galants 1 - 1 Yanga SC.

YANGA SC BINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO LA 2023.
kutoka robo fainali mpk fainali!!!ngoja tuone hii...kye kye kyeee
 
Hizi ndio ndoto za saa saba mchana na nusu mchana.
 
Ukiangalia trend ya matokeo kwenye haya mashindano, utagundua kwamba timu nyingi zinazoshiriki hazitofautiani sana uwezo na Yanga. Hivyo Wananchi wakichanga karata zao vizuri, lolote linaweza kutokea.

Ni tofauti kabisa na ule upande wa pili ambako kuna timu piga ua! Lazima zifike fainali, na ikiwezekana kuchukua kabisa ubingwa! Imagine timu kama Mamelody Sundowns, Aly Ahly, Raja Casablanca, Wydad Casablanca, Eperance, nk.

Hivi wadogo zetu watapitia wapi ili kufika hiyo fainali? Huku wakiwa na kikosi cha wachezaji wale wale! Maana hata kwenye mashindano tu ya ndani ya ASFC, wachezaji wanapangwa wale wale!! Watafika kweli hata kwenye hatua ya nusu fainali? Mara zote safari yao itakuwa inafikia tamati kwenye hatua ya Robo fainali tu.
Kwa hiyo ndio unajivunia kuwa kwenye kombe la walioshindwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mnaogopa challenge🫣🫣

Nyie kweli mmedumaa[emoji848][emoji848]
 
Njia rahisi kwa Mabingwa wa muda wote wa Tanzania kutwaa ni kumaliza mechi ya mwisho wakiwa nafasi ya pili katika kundi.

1. US Monastir
2. Young Africans SC
3. Real Bamako
4. TP Mazembe

(Kimsingi tutamaliza tukiwa nafasi ya pili)

Ambapo posible opponents wetu watakuwa ni wale walio ongoza makundi yao ambao ni aidha:

1. Rivers United
2. Malumo Galants
3. Far Rabat

Yanga SC atapangiwa - Far Rabat
Rivers United atapangiwa Malumo Galants

Kwa namna Yanga SC wanavyowaoneaga Waarabu basi matokeo yatakuwa

1st leg: Yanga SC 2 - 0 Far Rabat.

2nd leg: Far Rabat 1 - 1 Yanga SC.

Yanga SC atacheza fainali dhidi ya Malumo Galants.

FINAL:-

1st leg: Yanga SC 1 - 0 Malumo Galants.

2nd leg: Malumo Galants 1 - 1 Yanga SC.

YANGA SC BINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO LA 2023.
Hayo Mashindano yenu yenyewe hayana semi final🤣🤣🤣🤣
 
Ngoja tuone maajabu. Maana piga ua lazima watapangwa tu na Mwarabu. Na simba kwa Mwarabu hajawahi kufurukuta. Anaweza akashinda goli 1 kwa Mkapa, halafu akifika Uarabuni anapigwa 5!

Kinyume na hapo anaweza kupigwa nje ndani, kama atakavyo mfanyia Raja Casablanca kwenye mechi yao ya mwisho.
Hiko ndiko ninachokiona huko mbeleni.
 
Kwa hiyo ndio unajivunia kuwa kwenye kombe la walioshindwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mnaogopa challenge🫣🫣

Nyie kweli mmedumaa[emoji848][emoji848]
Challenge ya kwenye LIGI KUU tu imewashinda.

Huko sijui mna challeng nini....
 
Ukiangalia trend ya matokeo kwenye haya mashindano, utagundua kwamba timu nyingi zinazoshiriki hazitofautiani sana uwezo na Yanga. Hivyo Wananchi wakichanga karata zao vizuri, lolote linaweza kutokea.

Ni tofauti kabisa na ule upande wa pili ambako kuna timu piga ua! Lazima zifike fainali, na ikiwezekana kuchukua kabisa ubingwa! Imagine timu kama Mamelody Sundowns, Aly Ahly, Raja Casablanca, Wydad Casablanca, Eperance, nk.

Hivi wadogo zetu watapitia wapi ili kufika hiyo fainali? Huku wakiwa na kikosi cha wachezaji wale wale! Maana hata kwenye mashindano tu ya ndani ya ASFC, wachezaji wanapangwa wale wale!! Watafika kweli hata kwenye hatua ya nusu fainali? Mara zote safari yao itakuwa inafikia tamati kwenye hatua ya Robo fainali tu.
Na hata ukiangalia matokeo kwa kumla, yaani timu zote zilizo kwenye "LUZA KAP", ukizipanga kwenye msimamo mmoja mpaka hatua hii ya mzunguko wa 5, UTO watakuwa nafasi ya pili kwa kuzidiwa utofauti wa goli moja tu (Goal Difference) na kinara AS FAR wala sio pointi.
 
CAF CC Yanga Bingwa
NBC Yanga Bingwa
Azam CC Yanga Bingwa
NGAO Hisani Yanga Bingwa
Atakaye bisha atakuwa na tabia za afwande wa zenji
Hatuwezi kubishana na kina Ashura cheupe maana ni wabishi hao... 😆 😆
 
Na hata ukiangalia matokeo kwa kumla, yaani timu zote zilizo kwenye "LUZA KAP", ukizipanga kwenye msimamo mmoja mpaka hatua hii ya mzunguko wa 5, UTO watakuwa nafasi ya pili kwa kuzidiwa utofauti wa goli moja tu (Goal Difference) na kinara AS FAR wala sio pointi.
Huko kwenye Luza ndio mlishikwa uchawi nchi za watu
 
Back
Top Bottom