Hesabu zinambeba Yanga SC kuwa bingwa CAFCC 2023

Kuna muda huwa hatutaki kucheka, ila huwa mnatulazimisha.. [emoji23][emoji23]
 
Kombe la looser
 
Ndiyo nzuri tusubirie utekelezaji
 
Kiukweli mpira wa Uto saivi upo juu sana, wanaweza kufika fainali ama kulibeba kombe kabisa.

Sisi robo kwetu imekua kikwazo kila msimu.
 
Amina
 
Amka usije ukajikojolea mkuu
 

Mbona umeruka semi finals??
 
Al hilal aliwafurushaaa mapemaa tyuuh na Makundi hamjanusaa, mkaangukia kwa losers wenzenu.

Mtuaache huku tupo wakubwaa tyuuh tunasemezanaa. Kwan lazima mtuongeleee?? Mbna mtateseka sanaa na badoooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…