Hesabu zinambeba Yanga SC kuwa bingwa CAFCC 2023

Hesabu zinambeba Yanga SC kuwa bingwa CAFCC 2023

Kombe la looser
Ndio kombe ambalo mlitumia UCHAWI ili mlipate?
20230321_135059.jpg
 
Njia rahisi kwa Mabingwa wa muda wote wa Tanzania kutwaa ni kumaliza mechi ya mwisho wakiwa nafasi ya pili katika kundi.

1. US Monastir
2. Young Africans SC
3. Real Bamako
4. TP Mazembe

(Kimsingi tutamaliza tukiwa nafasi ya pili)

Ambapo posible opponents wetu watakuwa ni wale walio ongoza makundi yao ambao ni aidha:

1. Rivers United
2. Malumo Galants
3. Far Rabat

Yanga SC atapangiwa - Far Rabat
Rivers United atapangiwa Malumo Galants

Kwa namna Yanga SC wanavyowaoneaga Waarabu basi matokeo yatakuwa

1st leg: Yanga SC 2 - 0 Far Rabat.

2nd leg: Far Rabat 1 - 1 Yanga SC.

Yanga SC atacheza fainali dhidi ya Malumo Galants.

FINAL:-

1st leg: Yanga SC 1 - 0 Malumo Galants.

2nd leg: Malumo Galants 1 - 1 Yanga SC.

YANGA SC BINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO LA 2023.
Yanga akimaliza wa pili 1st leg atakuwa home
 
Ukiangalia trend ya matokeo kwenye haya mashindano, utagundua kwamba timu nyingi zinazoshiriki hazitofautiani sana uwezo na Yanga. Hivyo Wananchi wakichanga karata zao vizuri, lolote linaweza kutokea.

Ni tofauti kabisa na ule upande wa pili ambako kuna timu piga ua! Lazima zifike fainali, na ikiwezekana kuchukua kabisa ubingwa! Imagine timu kama Mamelody Sundowns, Aly Ahly, Raja Casablanca, Wydad Casablanca, Eperance, nk.

Hivi wadogo zetu watapitia wapi ili kufika hiyo fainali? Huku wakiwa na kikosi cha wachezaji wale wale! Maana hata kwenye mashindano tu ya ndani ya ASFC, wachezaji wanapangwa wale wale!! Watafika kweli hata kwenye hatua ya nusu fainali? Mara zote safari yao itakuwa inafikia tamati kwenye hatua ya Robo fainali tu.
Hao sasa ndiyo rika letu,na nyie vibonde ndiyo rika lenu si unajua tuko daraja la juu kuliko nyie na hiyo ndiyo maana halisi ya Loosers cup

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ukiangalia trend ya matokeo kwenye haya mashindano, utagundua kwamba timu nyingi zinazoshiriki hazitofautiani sana uwezo na Yanga. Hivyo Wananchi wakichanga karata zao vizuri, lolote linaweza kutokea.

Ni tofauti kabisa na ule upande wa pili ambako kuna timu piga ua! Lazima zifike fainali, na ikiwezekana kuchukua kabisa ubingwa! Imagine timu kama Mamelody Sundowns, Aly Ahly, Raja Casablanca, Wydad Casablanca, Eperance, nk.

Hivi wadogo zetu watapitia wapi ili kufika hiyo fainali? Huku wakiwa na kikosi cha wachezaji wale wale! Maana hata kwenye mashindano tu ya ndani ya ASFC, wachezaji wanapangwa wale wale!! Watafika kweli hata kwenye hatua ya nusu fainali? Mara zote safari yao itakuwa inafikia tamati kwenye hatua ya Robo fainali tu.
Luza kapu
 
Yanga wanacheza jihad sana,binafsi nashabikia simba lakini kwa yanga hii sioni wa kuwazuia kuchukua ubingwa.
 
Back
Top Bottom