Heshima apewe Kibwana Shomari

Heshima apewe Kibwana Shomari

Trebla84

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
510
Reaction score
637
Huyu bwana mdogo apewe tu heshima yake tuache kusifia wachezaji wa kigeni.
Dogo mpira anaupiga jana kaweza kupambana na Morrison akahama namba akaja Sacko nae kabadili namba kaja Chama naye kakimbia heshima kwake.
Screenshot_20220501-094631.png
 
Huyu bwana mdogo apewe tu heshima yake tuache kusifia wachezaji wa kigeni.
Dogo mpira anaupiga jana kaweza kupambana na Morrison akahama namba akaja Sacko nae kabadili namba kaja Chama naye kakimbia heshima kwake.View attachment 2206972

Ni kweli Kaka…Nakubaliana na wewe[emoji91][emoji91][emoji109]
Je Mayelle wetu hivi Kuna Mtu alimzuia Kweli?
 
MAKOLOKOLO badala yachezee mpira yamebakia kucheza mpira tena kwa kukamia na kushangilia sare [emoji13]
 
Huyu bwana mdogo apewe tu heshima yake tuache kusifia wachezaji wa kigeni.
Dogo mpira anaupiga jana kaweza kupambana na Morrison akahama namba akaja Sacko nae kabadili namba kaja Chama naye kakimbia heshima kwake.View attachment 2206972
Hao ni wale waliokuwa wanakwenda kupiga kambi je wapita njia waliokuwa wanataka kupita hiyo njia nao walikwama. Hongera sana Kibwana.
 
Akaja Kibu,ina maana kacheza na wachezaji wa Nchi nne na wakachemka
Tukienda nae mashindano ya CUF atasaidia kwani anauwezo kusaidia nchi ikashinda nchi 3 ikiwemo Ghana😂

NB. Usidhani sijui kuwa CUF ya mpira in A kwenye U😂
 
Tusilazimishane....
Kuchezea watu rafu ndio kucheza Vizuri?
Tumsifie kwa kuwa tu ni mtanzania?
 
Tukienda nae mashindano ya CUF atasaidia kwani anauwezo kusaidia nchi ikashinda nchi 3 ikiwemo Ghana[emoji23]

NB. Usidhani sijui kuwa CUF ya mpira in A kwenye U[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom