Heshima apewe Kibwana Shomari

Heshima apewe Kibwana Shomari

Kibwana Shomary nilimuona tangia mechi ya kwanza ya darby msimu huu,hakika uyu ni beki haswa.
 
Tatizo wachezaji wetu wa ndani ukimsifia kesho mabega juu ,mechi inayofuata akiboronga matusi kama yote toka jukwaani.
Dogo aongeze bidii na kujiamini, pia awe na nidhamu ya mpira.
 
Kibwana Shomari analingana na Defender Hans Agbo mchezaji wa zamani wa Cameroon. Ila ana hitajika ajenge umbo lililo Shiba, Atafika mbali kwakua kipaji anacho.
 
Mchezaji anasifiwa bila match statistics, only in Tanzania.
Nilitegemea kukuta namba za blocks, aerial duels,etc.
 
Tusilazimishane....
Kuchezea watu rafu ndio kucheza Vizuri?
Tumsifie kwa kuwa tu ni mtanzania?
Kwani kuwa mtanzania ni sifa?basi nisifieni na mimi.....
Kiufupi utopolo akili hakuna,wakiongozwa na zerumamayeyooo
FB_IMG_16515728561735379.jpg


Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom