Tatizo wachezaji wetu wa ndani ukimsifia kesho mabega juu ,mechi inayofuata akiboronga matusi kama yote toka jukwaani.
Dogo aongeze bidii na kujiamini, pia awe na nidhamu ya mpira.
Kibwana Shomari analingana na Defender Hans Agbo mchezaji wa zamani wa Cameroon. Ila ana hitajika ajenge umbo lililo Shiba, Atafika mbali kwakua kipaji anacho.