Heshima ifuate mkondo wake

Wakuperuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2023
Posts
2,348
Reaction score
5,841
Wakuu Leo shemeji yenu amekula kelebu moja matata baada ya kuniletea majibu ya mkato yaliyochanganyika na mzaha wakati ambao mimi ndgu yenu nilikuwa serious.

Mara moja moja kuwakumbusha hawa viumbe kujua mipaka yao si vibaya maana mazoea yakizidi sana ni hatari kwa mahusiano.
 
Hebu andika stori inayoeleweka, ni nini hiki sasa
 
Kwa hiyo kila timu yako inapofungwa ndiyo unataka mipaka izingatiwe, timu yako ikishinda ni mipaka wala mipanya?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Haipendezi kabisa kumpiga mwanamke! Sijui mnawezaje wenzangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…