Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
-
- #161
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni makala elimishi ikielimisha kuhusu heshima ni kitu cha bure, hivyo kuwaelimisha wana jf na mitandao ya kijamii, kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima aheshimiwe na wote kwasababu mtu akiishakuwa rais wa nchi, hapo hapo ana assume dual personality, yaani wanakuwa ni watu wawili in one!, hivyo rais wa nchi ni lazima aheshimiwe kwa heshima ya lazima ya kimamlaka, akosolewe kwa lugha ya staha, asitukanwe wala asitusiwe!.
Heshima Kitu cha Bure, Rais Samia, ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe!.
Paskali
Naendelea kusisitiza viongozi waheshimiweNa Mwandishi wetu.
Mwenyekiti Jumuiya na Taasisi za Kiislaam nchini Tanzania, Shekhe Mussa Kundecha amefunguka na kukemea wazi wazi kitendo cha chapisho la Picha za Kudhihaki Vazi la kislaam na Waislam wote.
View attachment 3017478
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni makala elimishi ikielimisha kuhusu heshima ni kitu cha bure, hivyo kuwaelimisha wana jf na mitandao ya kijamii, kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima aheshimiwe na wote kwasababu mtu akiishakuwa rais wa nchi, hapo hapo ana assume dual personality, yaani wanakuwa ni watu wawili in one!, hivyo rais wa nchi ni lazima aheshimiwe kwa heshima ya lazima ya kimamlaka, akosolewe kwa lugha ya staha, asitukanwe wala asitusiwe!.
Namalizia kwa msisitizo huu
Heshima Kitu cha Bure, Rais Samia, ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe!.
Paskali
Naunga mkono hoja, sisi kaka zao tumo humu na from time to time tunajitahidi sana kuvifunza adabu hivi vitoto visivyo na adabu kwa mabandiko kama hayaHata mimi huwa naumia sana kuona Mheshimiwa Rais akitukanwa matusi na vitoto vidogo kama li Mdude Nyagali
Hoja nzuri ni ile inayotolewa kwa lugha nzuri na staha. Huwezi kumjadili Mhe. Rais na CI kirahisi na lugha isiyo na staha! Uhuru wa maoni ni jambo chanya la maendeleo siyo jinai.πππWanaukumbi.
Vijana wa Tanzania, taifa linalotilia mkazo maadili mazuri mnawezaje kumtukana Rais SuluhuSamia matusi mazito...
Kutumia makalio kufikiri hya ndo madhara yake β¦.. rudi nyuma tafakari zike ripoti za CAG ubadhilifu ulio fanywa na serikali inayo ongozwa na huyo chura kiziwi inatosha kusema hafai tenaWanaukumbi.
Vijana wa Tanzania, taifa linalotilia mkazo maadili mazuri mnawezaje kumtukana Rais SuluhuSamia matusi mazito?
Kuna uhusiano gani kati ya kudai haki au kukosoa Utendaji wa Serikali na matusi? Kwani mama au baba zenu wakikosea huwa pia mnawatukana? Badilikeni, matusi sio uungwana.
Kundi la watu wanaojiita wanaharakati ("Team Space") wanatuumia
Nguvu kubwa kugawa watanzania "Divide and Rule" ili Watanzania wasiwe na sauti moja. Matokeo yake mnakuwa kama lugha gongana "mlima babeli"
Harakati hizi ni kwa manufaa ya wachache, haziwezi leta mabadiliko, kamwe!
Haki haipiganiwi kwa matusi au kutweza utu wa wengine. Ni muhimu kukumbusha vijana kwamba hakuna harakati za demokrasia na haki zilizowahi kushinda bila watu kupendana, kuwa wamoja na kuwa na sauti moja. Team Space inatengeneza "DIVIDE AND RULE" harakati za maslahi kupiga hela
PIA SOMA
- Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
Maadili ni tatizo la jamii. Mkanyage kwa bahati mbaya kijana kwenye daladala sikiliza maneno yanayotoka mdomoni. Dada wa watu abishane tu na konda au kijana mwingine kituoni: sikiliza aina ya maneno yasiyo ya staha yatakayotoka mdomoni hapo. Kwa hiyo, kutumia maneno au kutenda mambo yanaoumiza wengine ndiyo imekuwa silaha yetu siku hizi. Na kwa bahati mbaya mijadala hatuiwezi kwa sababu ni wavivu wa kujenga hoja, isipokuwa tunalazimisha hoja na mtu akitofautiana nasi tunaanza kumtukana au kukimbilia kuanika kashfa alizonazo, hata kama ni za kupika. Shame upon us!Wanaukumbi.