kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,117
A.k.a Simba, kiukweli umetisha sana kwa jambo kuu moja, Binafsi nakupongeza sana Diamond Plutnum Mtoto wa Tandale.
Jambo kuu lenyewe ni ili la kuwa makini sana katika Maisha yako, nazungumzia Ubavu wa pili ( msaidizi wa Mwanaume )
Safari yako ilikuwa ngumu kiasi kwa sababu huku bahatika kufungua mlango wa heshima katika Nyumba ulizo paua hapo awali.
Tuanze na Nyumba jirani to South bondeni Nyumba hii ilikuwa tayari na milango Miwili, wengine huwa waasema milango mitatu.. Hii ulikuwa unaishi kwenye ghorofa lenye milango miwili lakini funguo wengi wanazo.
Nyumba ya pili ni hii ina mlango mmoja ni nyumba nzuri saizi yako ila hii nyumba msingi hukuujenga wewe ndio maana alie jenga msingi kaacha Ramani ya Mlango mmoja, hivyo muda wowote ni sawa na kutembea na mua jangwani.
Nyumba hii ya tatu naona unaanza Msingi mwenyewe na pia soon Unaanza na Mlango mmoja..., nikuambie hii ndio nyumba ukichemka hapa ni sawa na kupoteza kile ulicho pigania katika Maisha yako yote.
Ulikuwa kipenzi cha kina Mama na Wadada sasa utakuwa kinyume na muziki wako utakwama.
Umeanza vizuri Malizia vizuri i mean hapo Tulia sasa.. Mechi za mchangani kwa hisani ya mgunduzi wa Saa.
One love.
NB: Malizia kumvuta kwenye kuangalia Magharibi utimize zile nguzo za Maana.