Heshima kwa Diamond Platnamz

Heshima kwa Diamond Platnamz

Huyu jamaa ni muislamu mwenzangu lakini mambo anayoyafanya inna lillahi waina ilaihi rajiun. Aliemuoa sasa mara ajipost nusu uchi kwenye mtandao! subhanallah, namsikitikia sana uyu ndugu yangu anapoelekea huko, Namuombea Allah SWT amuongoze!
Hajamuoa
Bado anaendekeza kujaza dunia na watoto wa zinaa
 
Huyu jamaa ni muislamu mwenzangu lakini mambo anayoyafanya inna lillahi waina ilaihi rajiun. Aliemuoa sasa mara ajipost nusu uchi kwenye mtandao! subhanallah, namsikitikia sana uyu ndugu yangu anapoelekea huko, Namuombea Allah SWT amuongoze!

Hamia Saudi Arabia mkuu, huku unapoteza muda wako tu.
 
kuna watu hawakai nusu uchi wala hawavuti bangi na pia hawatendi mema chibu sawa anamambo mengi lakini anatenda mema he is Good for something and not Good for nothing.

Unajuwa maana ya kutenda mema? Kwahiyo musician nae utamuhesabu mtenda mema? Anazini pia, huyo utamueka kwenye kundi la watenda mema! Anajichora matatu na kuvaa heleni, kuna kipindi alikuwa akivaa msalaba huyo ndie mtenda mema? Uislamu hautufundishi hivyo mkuu labda dini yenu.
 
Hawezi kuwa best ana watoto 6 na miaka 40,abdul ana miaka 25
Anawatoto 6 kweli but alimzalisha wa nini duli hana 25 acha uongo na diamond alimfuata mwenyewe kwani hakuona ni mzee mkishafunuaga nguo za ndani za wanawake mna dharau.
 
Back
Top Bottom