Unatafutwa kule kwenye thread nyingineYao inaenda anti clockwise mkuu [emoji81][emoji81]
Unatafutwa kule kwenye thread nyingine
HajamuoaHuyu jamaa ni muislamu mwenzangu lakini mambo anayoyafanya inna lillahi waina ilaihi rajiun. Aliemuoa sasa mara ajipost nusu uchi kwenye mtandao! subhanallah, namsikitikia sana uyu ndugu yangu anapoelekea huko, Namuombea Allah SWT amuongoze!
Hajamuoa
Bado anaendekeza kujaza dunia na watoto wa zinaa
Huyu jamaa ni muislamu mwenzangu lakini mambo anayoyafanya inna lillahi waina ilaihi rajiun. Aliemuoa sasa mara ajipost nusu uchi kwenye mtandao! subhanallah, namsikitikia sana uyu ndugu yangu anapoelekea huko, Namuombea Allah SWT amuongoze!
kuna watu hawakai nusu uchi wala hawavuti bangi na pia hawatendi mema chibu sawa anamambo mengi lakini anatenda mema he is Good for something and not Good for nothing.
AmiinYeah nikweli chifu hajamuoa. Ujinga anaoufanya anazini then anamuoa yani Hamuogopi Allah huyu ndugu yetu. Allah amuongoze kwakweli
Anawatoto 6 kweli but alimzalisha wa nini duli hana 25 acha uongo na diamond alimfuata mwenyewe kwani hakuona ni mzee mkishafunuaga nguo za ndani za wanawake mna dharau.Hawezi kuwa best ana watoto 6 na miaka 40,abdul ana miaka 25