Mtoto mzuri hivyo unapandaje daladala?Na kwambia makapuku tunakomoka na mvua hizi, hizo daladala lol! mguu shingo, teke la uso [emoji25][emoji25]
πππJF kila mtu ana gari. Wewe unakwama wapi aiseeh.
Kwanini unampora?Njoo nikupe kibaby walker kuna mwenzio nampora.
Naomba mojaHuu ndio msimu wa kuheshimiana.
Hata sielewiJf kila mtu ana gari wewe unafeli wapi?
Kwanini unampora?
Hapana..kwanini uchukue si ulitoa zawadi?Ukiachana na mtu si unachukua na kilicho chako?
Hapana..kwanini uchukue si ulitoa zawadi?
Duuuu..mbona kibabe π π πWewe bana we unataka gari hutaki?
Njoo uchukue gari achana na daladalaUzuri ninao tatizo bahati
Mbona Mimi umeninyima? π πNjoo uchukue gari achana na daladala