agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Kwa hizi mvua zinazoendelea heshima kwenu wenye magari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamatia mchepuko wenye gari hutajutiaKwa hizi mvua zinazoendelea heshima kwenu wenye magari.
Gari ya mchepuko sio tamu.Kamatia mchepuko wenye gari hutajutia
Ngoja unyesheweGari ya mchepuko sio tamu.
Sawa 😀 😀
Weee ...Wenzio tunawapa lift hadi milangoni mwao
Yaniii tabu tupu...Na kwambia makapuku tunakomoka na mvua hizi, hizo daladala lol! mguu shingo, teke la uso [emoji25][emoji25]
Dooo kumbe..Ukiwa kwenye mahusiano na mwanaume wa dar alafu hana gari
Mwanamke mwenzangu hongera una moyoo wa chuma
Hata sielewi mkuu.JF kila mtu ana gari. Wewe unakwama wapi aiseeh.
Hata sielewi mkuu.
Huu ndio msimu wa kuheshimiana.Kwa hizi mvua zinazoendelea heshima kwenu wenye magari.
Gari sio kama mwembe kwamba mvua ikinyesha wa ndani ataloaWao hawaloi....? Au mvua haiwanyeshei na magari yao...?