Heshima ni ya kutafuta siyo ya kupewa

Heshima ni ya kutafuta siyo ya kupewa

Fighter101

Member
Joined
Jan 8, 2022
Posts
46
Reaction score
64
Naomba niweke mambo sawa hapa.

Inawezekana unaona kuna watu wanaheshimika sana wengine ndo ivo, ni hivi wale wanoheshimika hiyo heshima wameitafuta hawapewi iviivi.

Njia mojawapo ya kutafuta heshima ni kufanya mambo mazuri na makubwa kiasi kwamba wewe unakuwa mfano kwa wengine.

So usikae kulialia huheshimiwi tafuta heshima, hupewi bure na utabaki kulaumu watu tu.

Good night.
 
[emoji23][emoji23][emoji112] Uzi tayari
 
Watu wamefanya makubwa wakiwa hai heshima wameipata wakiwa kaburini. Ina faida gani.
Unaweza fanya makuu na usionekane.
#Kula ugoro mwanetu lala Salama kesho tuonane.
 
Back
Top Bottom