Heshima ya Kenya.

Wanatutia aibu kwa lipi? Wakenya akili zao ziko miguuni, sisi kwetu ziko kichwani, hivyo waache wakimbie isitoshe sisi hatuna Wakalenjil, hapo ni nature tu hata ufanye nini huwezi shinda hao watu kwa mbio!
Mbona makampuni yenu yote makubwa CEOs wanazika Kenya, huoni hii ni aibu nyingine? nenda Zanzibar Na arusha hotelini zimejaa wafanyakazi wa Kenya
 
Wanatutia aibu kwa lipi? Wakenya akili zao ziko miguuni, sisi kwetu ziko kichwani, hivyo waache wakimbie isitoshe sisi hatuna Wakalenjil, hapo ni nature tu hata ufanye nini huwezi shinda hao watu kwa mbio!
 
kenya moto ya kuotea mbali...wahabeshi walikiona vumbi jana pamoja na Mo Farah wa GB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…