NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahhah
Respect Kenya or die! [emoji38][emoji38][emoji38]
Hongereni sana Wakenya, mwakyembe Na Juliana Shonza mnatutia aibu.
Mbona makampuni yenu yote makubwa CEOs wanazika Kenya, huoni hii ni aibu nyingine? nenda Zanzibar Na arusha hotelini zimejaa wafanyakazi wa KenyaWanatutia aibu kwa lipi? Wakenya akili zao ziko miguuni, sisi kwetu ziko kichwani, hivyo waache wakimbie isitoshe sisi hatuna Wakalenjil, hapo ni nature tu hata ufanye nini huwezi shinda hao watu kwa mbio!
wacha jamaa atoboke ukweliInahusika nini na mbio!
Wanatutia aibu kwa lipi? Wakenya akili zao ziko miguuni, sisi kwetu ziko kichwani, hivyo waache wakimbie isitoshe sisi hatuna Wakalenjil, hapo ni nature tu hata ufanye nini huwezi shinda hao watu kwa mbio!