Heshima ya kipekee sana iwafikie Wanaume

Mungu azidi kuwabariki kipekee kabisa na muendelee kupambana daima.!!
Ni vizuri kumsifia na kutambua jitahada za mwanaume awe wako au kaka yako, baba yako, mdogo wako , kuna ushauri huwa nawambiaga wanawake kuwa na tabia nzuri na ya kujenga ya kuwasifia waume zao na hapo utaona mume atakavyojituma zaidi ya pale na pia baraka mtaziona, wewe umejitahidi sana kuona hilo mapema,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni suala la Elimu na muda tu nadhani, let's hope for the best, hayo yatakuwako siku moja.!!
Ila mkuu, asilimia kubwa ya wanawake wasomi ndio wanaongoza kwa kuwapa wanaume stress. Kwanza hawataki kabisa kufuata miongozo ya ndoa.
 
Hivi dogo ushawahi mtongoza mtu akachomoa?
Mweeh! Una kipaji cha kutoa maneno
 
Wewe hata ukiomba na ya kutolea, unastahili, sababu unatambua na kuheshimu hustle za umuombaye.
 
Hakuna aliyekubishia mkuu. So huna haja ya kuwa TRUSTED...!! Hao wapo sana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulichokosea ni WEWE KUAMUA KUISHI NA MALAYA...!!! Sasa ilikuwaje mpaka ukachukua malaya bro?? Angekuwa appreciative wakati ni malaya, mimi ningeshangaa. Malaya hawanaga hizo na hawajali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thread murua, tuwe tunahitaji kupongezana mara kwa mara kwa ubora wa kiwango hiki. Hongera wanaume mnaopambana siyo mziki mwepesi kwa kweli.
Juhudi ninazoziona kupitia La'aziz wangu kwa watoto wake wawili aliowapata kabla mimi na yeye hatujakutana maishani ni za hali ya juu mno, ukiachana na familia yetu ndogo sasa.
Nampenda, namheshimu na kujitahidi tufurahie maisha haya ukiachana na majukumu vilevile changamoto za hapa na pale.
 
Hili nalo nen fcz usipambane huku ukitegemea kuwa appreciated na kiumbe "Ke".
Utakua dissapointed sana.
Cha muhimu kwetu wanaume tuendlee kupambana kwa ajili ya watoto wetu ILI WAKIKUA WAIMBE "NANI KAMA MAMA"
Siyo wakati wote mtakuwa appreciated kwa maneno, wakati mwingine mtaenziwa kwa matendo huku mkiombewa kila iitwapo Leo.!
 
Ahsante sana mpendwa, nadhani kila mmoja anatambua na ana namna yake ya kutoa appreciation..!!
Mbarikiwe daima.!
 
Ila mkuu, asilimia kubwa ya wanawake wasomi ndio wanaongoza kwa kuwapa wanaume stress. Kwanza hawataki kabisa kufuata miongozo ya ndoa.
Nadhani ni ule uhuru wa fikra wanaoupata kwenye elimu zao.. Na siyo makosa yao ukizingatia elimu zenyewe ni za mapokeo kutoka kwa wenzetu, tunaiga mpaka mfumo wao wa kijamii ambao hauwi applicable kwa tamaduni zetu.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…