Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,119
- 12,929
Aisee!! Kibaharia tunasema "mumeo ana raha sana." Unaitambua nafasi yako kama mwanamke.Nadhani ni ule uhuru wa fikra wanaoupata kwenye elimu zao.. Na siyo makosa yao ukizingatia elimu zenyewe ni za mapokeo kutoka kwa wenzetu, tunaiga mpaka mfumo wao wa kijamii ambao hauwi applicable kwa tamaduni zetu.!
You're kind of woman every man would dream to have,Thread murua, tuwe tunahitaji kupongezana mara kwa mara kwa ubora wa kiwango hiki. Hongera wanaume mnaopambana siyo mziki mwepesi kwa kweli.
Juhudi ninazoziona kupitia La'aziz wangu kwa watoto wake wawili aliowapata kabla mimi na yeye hatujakutana maishani ni za hali ya juu mno, ukiachana na familia yetu ndogo sasa.
Nampenda, namheshimu na kujitahidi tufurahie maisha haya ukiachana na majukumu vilevile changamoto za hapa na pale.
Baraka za kipekee kabisa zimfikie wajina wangu, I'm praying that may your Princess grow up to make his dad proud of her.!!Mbona wenzio wengi hawalioni uliloliona wewe?. Unamfanyia mambo mengi,hata kushukuru tu kwa maandishi kama haya achilia mbali moja kwa moja haipo. Nina mtoto wangu ana jina kama lako,huyo tu ndio mwepesi kutambua
Sent using Jamii Forums mobile app
Bless up brotherThanks again.
Thanks for ur representation.
Cheers brother.Tuko pamoja
Pole sana mkuu..Trust me nimeshawahi kuishi na mwanamke hajuagi kuapriciate kabisa na hajui kusema Asante wala samahani. ndani ni ugomvi kila iitwapo Leo mpaka ikafika mda nikawa kula mzingo na kujihisi na tatizo la nguvu za kiume kwa stress alizokuwa akinipa yule malaya wa kihehe! Girls jifunzeni kupitia huu uzi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Basi kazi ipo.
Ahsante sana Bro Eli,Carl umeandika vizuri sana, asante pia Kwa kutambua uwepo wa wanaume katika maisha yenu, hasa wale wanaotimiza majukumu yao ipasavyo. Ni kweli tunafanya sacrifice kwa ajili ya watoto na wake zetu.
Umekuwa na mwandiko kama Heaven Sent vile!
That's my darling sis, nakupendaga 😍Hivii naanzaje kumuamini mdogo wangu?
Nakuamini wewe zaidi na unajua hii.
Kwa kiasi, haina shidaHaha..!
Kwahiyo niwe naomba na ya kutolea unashauri.?!
Odama kasema tunafanya mengi makubwa umesikia we mtoto InnaAhsante sana Bro Eli,
Mnafanya mengi na makubwa mno, Mungu azidi kuwabariki kila iitwapo Leo.! Nyie ndiyo mwangaza wetu.!!
Jamani Heaven,☺
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]