Heshima ya kipekee sana iwafikie Wanaume

Heshima ziende kwenu ladies wote mnaotambua juhudi za wanaume wanao wajibika na mnawapa support. Awe kaka, mume, mzazi,rafiki.


Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana tena sana. Wakati flani huwa siamini kabisa kwamba itatokea mwanamke akajakuthamini jitihada za mwanaume katika familia. Wanaume katika familia tumepewa mizigo mingi na mizito. Lakini huwa namshanga Mungu jinsi anavyotusimamia.
Thank u once again for ur appreciations, God bless u abundantly.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pendael, Paula anakupa heshima za kipekee. Tafadhali zipokee na endelea kumpambania mke wako na familia.
My hat's off to you.
 

Attachments

  • Hats off.jpg
    25.8 KB · Views: 26
Una akili sana wewe mwanamke!! Hata uwezo wako wa kufikiri ni mkubwa!!
Nikumbushe namba yako naweza nikarusha kitu kidogo!! Napenda mwanamke mwenye mtazamo chanya!! Kwa maelezo hayo tu inaonekana hata kuchepuka huchepukagi tofauti na akina nanii wale wenye sendo za manyoya...πŸ˜€
 
Mwenyezi Mungu aendelee kukubariki πŸ™πŸ™, utaupata mkate ulio zaidi ya huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…