Haha,Oooh yeah!!
Ila mafurushi hawahusiki hapa.
Hawa viumbe(wanaojitambua) wana nafasi kubwa sana kwenye maisha yetu, Mungu awatunze tu kwaajili yetu. They go through alot na tumewaminisha kuwa lazima wapambane no matter what(ofcoz ni lazima jamani[emoji12]) hivyo masahibu yao wanakufa nayo "kiume".
Ila endeleeni tu kupambana jamani maana hamna namna, tupo kuwafariji.
I'm humbled,We salute u,....... Wanawake wachache sana wanapata muda wa kuwaza uhalisia kama wewe, ubarikiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio uanaume.Asante sn kwa appreciation.Kama mwanaume Mimi ni siku 2 sasa nakula ndizi 2 tuu kwa siku nashinda na nalala.Hii ni kwa sababu nilitakiwa tuma fedha home ili kuokoa mama na wanafamilia.Na mfukoni nilibakiwa na kidogo,ndo hichohicho nikatuma.Japo nakula ndizi 2 but ni fresh tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuuAsante sana binti mzuri kwa kutambua umuhimu wetu kwenye majukumu ya maisha katika ustawi wa familia.
Wakati fulani niliwahi kumlaumu mzee wangu kwa aina ya maisha alio nayo sasa baada ya kumalia malezi ya watoto wote.
Leo hii nami niko na familia, mapitio ninayopita najutia kumlaumu baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaah...!!Asante sn kwa appreciation.Kama mwanaume Mimi ni siku 2 sasa nakula ndizi 2 tuu kwa siku nashinda na nalala.Hii ni kwa sababu nilitakiwa tuma fedha home ili kuokoa mama na wanafamilia.Na mfukoni nilibakiwa na kidogo,ndo hichohicho nikatuma.Japo nakula ndizi 2 but ni fresh tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo jirani inapatikana? Au tunafanyeje...Hahaha..
Mpendwa kabanga juice ya tende tu will do me good,
Woow'..!Ahsante sana Carleen na wanawake wote wenye mawazo kama hayo, Mungu awabariki nyie na uzao wenu mpaka mshangae.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haha,Ni wanawake adim sana wanaotambua mzigo wanaoubena wanaume.
The rest wanajua kukamua tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha,Una akili sana wewe mwanamke!! Hata uwezo wako wa kufikiri ni mkubwa!!
Nikukumbushe namba yako naweza nikarusha kitu kidogo!! Napenda mwanamke mwenye mtazamo chanya!! Kwa maelezo hayo tu inaonekana hata kuchepuka huchepukagi tofauti na akina nanii wale wenye sendo za manyoya...😀