Heshima ya kipekee sana iwafikie Wanaume

we ulieandika uzi huu yan umeuleta wakata muafaka kwangu maana nayo pambana nayo sasa hv mungu ndo anajua.yan umekuja kunipa comfort kubwa sana kias kwamba kuna line za mwisho nimesoma mpaka nikasisimka,ngoja niendelee kupambana aise
Pole sana Raki.!.
Utavuka salama, 'Ukiona matatizo yamezidi, jua kuwa neema imekaribia.!!
 
Mungu awajazi daima,

Ila umenichekesha sana hapo pa free WiFi, waingie 'yuchubu' bila wasiwasi hivyo..??
Hahaa yaan full kuperuzi maana they deserve it bana.
I do appreciate them a lot, and yeah Mungu awabariki mno wasikate tamaa.
 
Carleen Naomba namba yako ya Simu nikutumie zawadi ,nothing else, l promise.You made me feel juhudi zangu Sio bure kuna watu( najua mpo wengi )Wamegundua tunataabika,tell my Wife kwenye kikao chenu kijacho,Though she is not pushy aendelee kubaki hivyo hivyo
 
Hawasifiwagwi hao, ngoja wakugeuke utatamani urudi kwenye.matatizo yako ya mwanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii

Sent by IPhone
Iiiiiii iiiiiiiii, iiiiiiiiiiiiii, iiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiii nakusaidia tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…