Heshima ya kipekee sana iwafikie Wanaume

Ya Buza au Banana?
Dada wa watu we danganywa tsunami ni janga!
Na kufikia mahali kuitwa hivyo jua hapana historia nzuri.. malaika wa bwana nimekutembelea kukuepusha na dhahma ya tsunami..
Njoo kwangu nikuonyeshe enzi ya mapenzi yako..
Nikupe kile ambacho kitakuwa furaha ya moyo wako then nikufunulie siri ya ulimwengu ambayo kwayo hukupata kuijui kabla..😉
 
Ni mwema kila wakati.!
Wakati mwingine kinachotuumiza zaidi siyo tatizo bali ni ile 'attitude toward that problem'..!
Keep that positive attitude alive always!! Hilo nalo litapita salama.!!
 
Endeleeni kushindana na sisi tu na kutaka haki sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwako kwanza unayetambua kua mwanaume ana nafasi ngumu sana...pili kama uko karibu na duka lolote henu ingia hapo mrembo chukua nguo yoyote nitalipa ili J'pili tukasheherekee disco la makonda fresh.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha..!
Idriss Sultani kwani police wameshakuachia??
 
Bado Jiwe kakaza nganga...amesema mpaka disco lipitie.

Ila tuache utani kama una whatsapp hebu share huo ujumbe truely umeongea kitu kikubwa sana hata mimi kimenigusa na nimefarijika kuona kumbe bado kuna wanawake wanajua kua wanaume tunapitia nyakati ngumu.Wanaume hatuonewi huruma mfano Baba anaprovide kila kitu kwenye familia,pesa ya kula,mavazi,malazi nk lakini watoto tukifanikiwa wa kwanza kumjali huwa mama hatuna muda kabisa na wazazi wetu wa kiume na hata kama tunawajali basi kwa kiasi kidogo sana.
Hahaha..!
Idriss Sultani kwani police wameshakuachia??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…