Heshima ya kipekee sana iwafikie Wanaume

Ok relax haya ndiyo maisha
Kila mtu ana uhuru wa kupost anachojisikia ilimradi havunji Sheria za jf

Kama hujapenda Kausha Huoni wenzako wame toa likes hapo??

Ndiyo tabia za ma -X lakin we Kausha tuu

Sent by IPhone
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haki umenichekesha, hivi wewe kumbe ni ex wangu eeh? Hata sikujua. Yes kila mtu ana uhuru wa kupost ndio maana na mimi nimetumia uhuru wangu kuandika maoni yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hauna mpango wowote wa kukua any time soon?
Atoto espy huyo ni x wangu aliyeniachie kipind kile tatizo ana wivu Sana my dear
Mwache tuu namjua vzr mpz Huyo

Sent by IPhone
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haki umenichekesha, hivi wewe kumbe ni ex wangu eeh? Hata sikujua. Yes kila mtu ana uhuru wa kupost ndio maana na mimi nimetumia uhuru wangu kuandika maoni yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeonaaeeeh haya ndiyo maisha
Usipanic mrembo
We Kausha tuu

Sent by IPhone
 
Well articulated with a smart brain! Ndio maana tunakufa mapema sana sista, Mungu atubariki daima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee unapeperusha njiwa wangu mkuu angalia hii mambo aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia sana isijekuwa wewe ndo njiwa umetua kwa mweweπŸ˜…
Hawa dada zetu nao wa kuangalia sana😜

Ila kwa huyu Depal utakuwa umeenda mahali salama.. Sasa hiyo salama ndio maana unaona nimeingilia kati!.. maana nani asiependa njiwa salama..?
Mkuu kama ni nafasi hata mi naitaka tuanze ligi tu hakuna namna..😎😜
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…