Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
hamna game iliniuma kama ile vidal alipopewa kadi nyekundi!-ma refaree wa kiingereza ni shidaBarca imekua timu ya kiboya yan hata fulham FC angelinda agg. Ya 4-1....by the way nani asiye jua kua Madrid wanakuaga 12 uwanjani pamoja na refa ....kama sikosei mchezo ujao Vidal ananyekundu tayari
Mkuu referee wa Madrid vs Bayern Perez ashamnunua tayari utasikia commentators wakisema..." Some reckless play there as Vidal from Bayern goes too far...trips an opponent, and he is lucky to receive a well deserved RED card..." [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]hamna game iliniuma kama ile vidal alipopewa kadi nyekundi!-ma refaree wa kiingereza ni shida
Sasa hao marefa wa epl kwa nini wasizibebe timu zao za uingereza,lakini wanaibeba madrid?[emoji3] [emoji3]Madrid mbeleko ya refa wa EPL imemvusha.Hawa marefa wa EPL wahuni sana ndo maana FIFA imewaacha kwenye World CUP
Hawawezi kuchezesha machi inayohusisha timu za EPL kwenye mashindano ya ulaya.Sasa hao marefa wa epl kwa nini wasizibebe timu zao za uingereza,lakini wanaibeba madrid?[emoji3] [emoji3]
hamna game iliniuma kama ile vidal alipopewa kadi nyekundi!-ma refaree wa kiingereza ni shida
Mkuu Barca ni timu iliyotimia kila idara, ni lazima tuwape pongezi Roma ambao hata mechi ya kwanza pale Nou Camp walicheza vizuri sana.Barca imekua timu ya kiboya yan hata fulham FC angelinda agg. Ya 4-1....by the way nani asiye jua kua Madrid wanakuaga 12 uwanjani pamoja na refa ....kama sikosei mchezo ujao Vidal ananyekundu tayari
Tufanye wewe ndio refa hii sio faulo?? Achen unafikiBarca imekua timu ya kiboya yan hata fulham FC angelinda agg. Ya 4-1....by the way nani asiye jua kua Madrid wanakuaga 12 uwanjani pamoja na refa ....kama sikosei mchezo ujao Vidal ananyekundu tayari
kumparamia maana yake nini ?tungemshangaa refa asingetoa penati pale, jamaa kamparamia live mfungaji
Kwa mechi ile nilivyoangalia bila kuweka ushabiki kuanzia dakika ya 75 Juventus walikua wamechoka sana na kulikua kuna kila dalili ya wao kufungwa, hata refa asingetoa penati(ilikua halali kwake kuitoa) bado katika zile dakika 120 Juve wangefungwa tu tena zaidi ya goli moja.
Kuingia kwa Asensio, Lucas na Kovavic kuliwaboost Madrid na hata Marcelo alikua keshaanza kupandisha mashambulizi.
I stand to be corrected!
Tufanye wewe ndio refa hii sio faulo?? Achen unafikiView attachment 746579
Kusajiliwa kwa Ronaldo, kuhitajika kwa Pogba na usajili mpya wa AC wa wiki hii unakwenda kuchagiza ligi hiyo.Baada AS ROMA kuifungisha virago FC BARCELONA kwa kipigo cha mbwa koko na Kibibi kizee JUVENTUS kuitandika REAL MADRID nyumbani kwao kwa idadi kubwa ya magoli , na kuokolewa na mwamuzi ( ambaye tetesi zinadokeza kwamba alikula rushwa ) , Heshima ya Ligi kuu ya Italia maarufu kana Serie A imerudi kwa kishindo.
swadakta , Hata DSTV wameirejesha tena ulingoniKusajiliwa kwa Ronaldo, kuhitajika kwa Pogba na usajili mpya wa AC wa wiki hii unakwenda kuchagiza ligi hiyo.