Heshima ya SERIE A yarejea

Heshima ya SERIE A yarejea

Barca imekua timu ya kiboya yan hata fulham FC angelinda agg. Ya 4-1....by the way nani asiye jua kua Madrid wanakuaga 12 uwanjani pamoja na refa ....kama sikosei mchezo ujao Vidal ananyekundu tayari
hamna game iliniuma kama ile vidal alipopewa kadi nyekundi!-ma refaree wa kiingereza ni shida
 
hamna game iliniuma kama ile vidal alipopewa kadi nyekundi!-ma refaree wa kiingereza ni shida
Mkuu referee wa Madrid vs Bayern Perez ashamnunua tayari utasikia commentators wakisema..." Some reckless play there as Vidal from Bayern goes too far...trips an opponent, and he is lucky to receive a well deserved RED card..." [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Barca imekua timu ya kiboya yan hata fulham FC angelinda agg. Ya 4-1....by the way nani asiye jua kua Madrid wanakuaga 12 uwanjani pamoja na refa ....kama sikosei mchezo ujao Vidal ananyekundu tayari
Mkuu Barca ni timu iliyotimia kila idara, ni lazima tuwape pongezi Roma ambao hata mechi ya kwanza pale Nou Camp walicheza vizuri sana.

Pia kuna kitu kimoja watu tunashindwa kukifaham, hakuna klabu Ulaya kwa sasa yenye viungo waliotimia zaidi ya Daniele de Rossi, Radja Naingolan na Kevin Strootman, ni shida!!!!

Suala la kulinda aggregate sio ishu, AC Milan yenye Dida, Maldini, Nesta, Pirlo, Gattuso, Seedorf, Kaka, Shevchenko, Inzaghi walishindwa kulinda the same aggregate kwa Deportivo la Coruna back in 2004.
 
Barca imekua timu ya kiboya yan hata fulham FC angelinda agg. Ya 4-1....by the way nani asiye jua kua Madrid wanakuaga 12 uwanjani pamoja na refa ....kama sikosei mchezo ujao Vidal ananyekundu tayari
Tufanye wewe ndio refa hii sio faulo?? Achen unafiki
tapatalk_jpeg_1523528616954.jpg
 
Kwa mechi ile nilivyoangalia bila kuweka ushabiki kuanzia dakika ya 75 Juventus walikua wamechoka sana na kulikua kuna kila dalili ya wao kufungwa, hata refa asingetoa penati(ilikua halali kwake kuitoa) bado katika zile dakika 120 Juve wangefungwa tu tena zaidi ya goli moja.
Kuingia kwa Asensio, Lucas na Kovavic kuliwaboost Madrid na hata Marcelo alikua keshaanza kupandisha mashambulizi.

I stand to be corrected!

Juve walikua na sub 2 mknoni. Cuardrado na marchiso nao wengiingia uwanjani je nalo lingekuaje?
 
Kwa wadau wa ukweli wa soka Seria A ndio mahala pao. Mafanboys na watu team kiduku mara team mo wao maeneo yao ndio EPL na Real & Barca.

Seria A ilikua ligi bora ulaya toka miaka ya 60. na miaka ya 80,90,2000's ni habari nyengine kabisa.
EPL na hao wahafidhina wawili wa laliga wanaringia Pesa tu ndizo zinazowaweka mjini. Lakini Class ni permanent.
 
Baada AS ROMA kuifungisha virago FC BARCELONA kwa kipigo cha mbwa koko na Kibibi kizee JUVENTUS kuitandika REAL MADRID nyumbani kwao kwa idadi kubwa ya magoli , na kuokolewa na mwamuzi ( ambaye tetesi zinadokeza kwamba alikula rushwa ) , Heshima ya Ligi kuu ya Italia maarufu kana Serie A imerudi kwa kishindo.
Kusajiliwa kwa Ronaldo, kuhitajika kwa Pogba na usajili mpya wa AC wa wiki hii unakwenda kuchagiza ligi hiyo.
 
Namsubiri kwa hamu kumona Fundi Pastore ndani ya Roma
 
Back
Top Bottom